Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Tower Sacco can give me more than 10M.hivi apo ulipo kuna saccos inaweza kukupa letsay loan ya 4mil ksh
Tower Sacco can give me more than 10M.hivi apo ulipo kuna saccos inaweza kukupa letsay loan ya 4mil ksh
Wakati huyu nyang'au Teargas amekalia oh built by Kenyans sijui nini watu wanapiga hatua kimya kimya😎😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=E3DBRRrq0Dk
Tower Sacco can give me loan of 10M nikiitisha.ukileta saccos ambayo inaweza kukupa loan ya ksh 4mil na withdraw my statement kuwa sio maskini
Sasa airport inahandle only 16,000 passengers inaitwaje international?😂😂🤣😂Ingekuwa kundustan hii airport ingeitwa international airport
as an individual 10mil ndo unaweza pata tena kwa hustler loan package. leta kama individual, sasa kama bado natakiwa niwasilishe asset si kama bank tu.Tower Sacco can give me more than 10M.
Wengi wakiwa kwao ujiona superpower,wakifika TZ wanaona utofauti wenye ubadilika na kuachana ile brainwashed waliopachikwa vichwani mwaoMzee fikiria thread inaanza alikua troll no 1. Like huyu mshamba Teargas
Wala hakuna unayemuudhi ndiyo maana watu wanakujibu. But tayari sisi tumeshakuona wewe kuwa ni JoblessKama nakuudhi si unichape kama unaweza😂😂😂
You have a poor Mentality. I keep my money in Sacco for future use where they yield a yearly interest of 14%. I can also access loans which I can’t access in banks as the loan I can get in Sacco is multiplied by 4 of the deposit amount with a monthly loan interest of 1%.
As for MMF, I keep money for emergency where they yield interest as well. Let me ask you one thing, are you aware that if you keep your money in banks you will never even earn a 0.001% annual interest? Instead your money will keep on reducing because the bank has to charge you service fee?
Bright people keep their money in MMF, Saccos, Bonds, shares and Stocks.
View: https://x.com/WaruhiuFranklin/status/1832673031711273337
View: https://x.com/TheAbojani/status/1745748830123900994
haha eti anajisifia kabisa mimi siweki hela bank ila nawekeza saccos halafu anajiona kawiniWala hakuna unayemuudhi ndiyo maana watu wanakujibu. But tayari sisi tumeshakuona wewe kuwa ni Jobless
Hivi hebu niambie. Mikono yako ipo na matatizo gani?
How much interest does banks give on deposited money? We keep our money in saccos and MMF so that they can grow and multiply. Saa hii ukiweka 1,000,000 kwa bank and another 1,000,000 kwa sacco at the end of the year pesa yako ya bank will reduce to 999,000 while ya Sacco will increase to 1,100,000.haha eti anajisifia kabisa mimi siweki hela bank ila nawekeza saccos halafu anajiona kawini
na ndo maana nimekuambia huna hela, hela sio kuwa na cash mkononi bali kuwa na asset na mzunguko tu ambao utakufanya kuendelea kupata pesa. ila kwa sababu hujafanikiwa kuiliki walau 9mil ksh huwezi elewa. ila sishangai ndio maana serikali yenu inaenda kwa mfumo wa cash basis katiak kutambua matumizi na mapatoHow much interest does banks give on deposited money? We keep our money in saccos and MMF so that they can grow. Saa hii nikiweka 1,000,000 kwa bank and another 1,000,000 kwa sacco at the end of the year pesa yako ya bank will reduce to 999,000 while ya Sacco will increase to 1,100,000.
So tell me, which one is better?
I can see the concept of money multiplication is not in Tanzania. No wonder they are all poor😂😂🤣.
Deposits za wakenya kwa Saccos is 10% of Tanzanian GDP😂😂🤣😂
View: https://x.com/BD_Africa/status/1835633010042978378
That’s why keep money in Sacco and MMF. Take 30M na uweke kwa Sacco ama MMF alafu uamue kulala maishani mwako wote, you will still earn Ksh 300,000 every month without even blinking 😂😂🤣na ndo maana nimekuambia huna hela, hela sio kuwa na cash mkononi bali kuwa na asset na mzunguko tu
Obviously you don’t understand how Saccos work😂😂🤣😂.mimi siwez weka letsay 2mil ili nisubirie kuja kopeshwa 6mil wakat sina mzunguko huo
That’s why keep money in Sacco and MMF. Take 30M na uweke kwa Sacco ama MMF alafu uamue kulala maishani mwako wote, you will still earn Ksh 300,000 every month without even blinking 😂😂🤣
View: https://x.com/TheAbojani/status/1835635739104620705
Obviously you don’t understand anything about finance.letsay umedeposit 10 ukakopa 30mil na riba labda ya 5% kwa mwaka kwa miaka mitattu sawa 34.5 halafu nikanunua hizo ukaanza kulipwa 300,000 kwa mwezi huku deni la mkpo likikutaka ulipe letsay 800,000 kwa mwez hiyo 500,000 utaitolea matakoni au?