Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2017-2021 mlikuwa mnasema ati Tanzania is growing at 7%. 2021 IMF iliwaambia muache mchezo cause Tanzania was growing at 4.9%😂😂🤣😂
Back then Uchumi ulikuwa unakua Kwa hiyo figure tena ni kuanzia awamu yote ya JK (2006-2015) & 2016-2019 Wala sio swala ya IMF.

-Baada ya hapo ikaja Uviko 19 na athari zake.
-Ukame na athari zake
-Changamoto ya umeme
-Vita ya Ukraine
-Kupanda Kwa bei ya Mafuta Duniani
-El Nino

Vyote hivyo vilitatiza Ukuaji wa Uchumi.Sasa hivi ndio tunaanza ku rebound kurudi kule.

But come 2026-30 tutakuwa above 7% Kwa vile sekta karibu zote zitakuwa zinafanya vizuri kulingana na miradi na mipango iliyopo.👇👇

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1834148175394808040?t=SPFxyR3x_bMp4_iVAdqN5A&s=19
 
Mzungu this time ameamua kutaja his best top notch beggars for his entire journey so far
Screenshot_20240915-173836.jpg



View: https://youtu.be/wlXZ_z1eask?si=xETshCVcvVq6baIi
 
Back
Top Bottom