Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ni nchi yenye gharama ndogo za maisha.
Usitufananishe na Kenya.
Kosugi Mbona mnalipwa mshahara kidogo hivi? Yani Clinical officer analipwa Ksh 28,000 na anaishi Dar, sasa wale wa vijiji kama Loliondo na Kigoma wanalipwa ngapi?😂😂🤣😂

Alafu watchman kama The best 007 naye analipwa ngapi?😂😂🤣

View: https://x.com/jeraspORG/status/1834948838139859406

Hili tangazo nifake wewe kilaza. Unajiokotea tu chochote mitandaoni. Wanapost hizi kupata ingejment kula hela za Elon.

Fool!
 
Before the BRT lanes Phase 4

IMG_5515.jpeg
 
Group stage hawawezi kuchezea hapo.
I see , they knew they won’t advance, unaona namna Al Ahly wanavyojipigia wakunya like no one’s business?
What unfortuitous circumstance be this 😀😀😀
Watu wako home wanakandwa 3-nil , apparently English is not helping the poor girl mahia, sipati picha hawa wakienda Cairo 😀
 
Na waarabu walivyo na amsha amsha wakiwa kwao.
😂😂😂😂😂😂Kazi wanayo.
 
Sasa stadium ya 30,000 inaezafanya mtu alie? Saa hii utensil umesimama juu contractor bado hajapewa pesa bado.

Na ujue opening and Closing games ni Talanta Stadium, hiyo ya Arusha maybe itakuwa tu training ground for some teams.
leta ushahidi ujenzi umesimama kwqsababu mkandarasi hajalipwa 😂😂

au ilimradi uongee hata kama ni ya uongo😂
 
Back
Top Bottom