ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
anhhh acha hasira au kwasababu naongea ukweli ndio imekuuma😂😂😂Huwa huboeki vile watu wanakulenga na hizi tweets zako elfu moja kwa siku?
anhhh acha hasira au kwasababu naongea ukweli ndio imekuuma😂😂😂Huwa huboeki vile watu wanakulenga na hizi tweets zako elfu moja kwa siku?
tuoneshe golden dragon in kenya sasa hvi mm nifunge acc 😂😂😂😂😂. yani umeumia sana na habari ya youtong kuweka assembly plant yao hapa na hio sio wazo lao la leo au jana muda mrefu huo mpango wanao na unajua kwann??? kwasababu tanzania ni wanunuzi wakubwa wa bus zaoHata Golden Dragon walitangaza kuja Tanzania but ended up in Kenya hadi mkaanza kulia😂😂🤣
How many of you have died this morning due to lack of food?Giant of poverty? What’s Tanzania giant in if I may ask?
English tamu bana mnajenga kila siku ila Timu ya Taifa inazurura.Integrated Siaya Stadium and Market.
Mambo ya kukalia nyasi na kuchomwa na jua tumewachia watanzania.
View attachment 3095448
Ruto kawapiga Mnada Wakundustani 250k apate hela ya kulipia loan ya Mchina 😁😁
View: https://x.com/BBCWorld/status/1834687121329656255?t=aKt-aMs6QrEGdZLZqtl78A&s=19
Are you denying that Golden Dragon buses are not assembled in Kenya by Banbros?😂😂🤣😂tuoneshe golden dragon in kenya sasa hvi mm nifunge acc 😂😂😂😂😂. yani umeumia sana na habari ya youtong kuweka assembly plant yao hapa na hio sio wazo lao la leo au jana muda mrefu huo mpango wanao na unajua kwann??? kwasababu tanzania ni wanunuzi wakubwa wa bus zao
Non. But thousands of Tanzanians have joined the extreme poverty group this morning.How many of you have died this morning due to lack of food?
Juu Gor Mahia wanaitumia😂😂😂English tamu bana mnajenga kila siku ila Timu ya Taifa inazurura.
Mbona hawatumii Nyayo?
bus za order zile kaka kama hawana order wanaacha 😂😂😂😂😂Hawa nyangau wanatuaibisha wamekosa basi la maana kweli ilihali wao hutengeneza mpaka Marcopolo G7?
How are you feeling that Watanzania are buying buses from Kenya?😂😂😂bus za order zile kaka kama hawana order wanaacha 😂😂😂😂😂
nasema leta asembly plant ya golden dragon kenya mm nifunge acc sasa hviAre you denying that Golden Dragon buses are not assembled in Kenya by Banbros?😂😂🤣😂
1. Giant in agricultureGiant of poverty? What’s Tanzania giant in if I may ask?
Nilisema Golden Dragon wanaunganisha mabasi Kenya in collaboration with Banbros. Kingereza ndio huelewi ama?😂😂😂nasema leta asembly plant ya golden dragon kenya mm nifunge acc sasa hvi
simple and clear 😂😂😂😂😂😂
bus ngap waliynganisha banbros zikizidi 10 zile zile za classic nitag nifunge acc😂😂Nilisema Golden Dragon wanaunganisha mabasi Kenya in collaboration with Banbros. Kingereza ndio huelewi ama?😂😂😂
hawa ni manufacturer wenyewe sio mbwa wengine 😂😂😂😂😂Nilisema Golden Dragon wanaunganisha mabasi Kenya in collaboration with Banbros. Kingereza ndio huelewi ama?😂😂😂
You should have started now kijana atleast muonekane mpo serious, like timu kubwa mnaipa Coaster?Magari za AFCON Master will provide.
Kwani marekani wameanza kujenga reli leo?Thanks for accepting that USA Ina Jointed rails. Well done👏👏👏
Tutarudia mara ngapi kukuambia.kuhusu Preliminary Rounds?Juu Gor Mahia wanaitumia😂😂😂