chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,680
- 45,913
😂😂😂 Nilitegemea yote haya!Mkuu piga picha mji peke yake ukiweka na hao viumbe unatutoa mchezoni, badala ya kuzoom mji kuna pahala nimezoom 😂
😂😂😂 Nilitegemea yote haya!Mkuu piga picha mji peke yake ukiweka na hao viumbe unatutoa mchezoni, badala ya kuzoom mji kuna pahala nimezoom 😂
Hao machawa ndo wanatuaribia hii nchi...
Nimependa hawa waamerica waliosema kuhusu Tanzania...na ni kweli sikatai kuna shida
Sijui viongozi wetu hiz video wanazitizama hiz?
Wameamua wakimbilie zao Botswana Maskini...
Kenyan na vimbelembele vyao vya kudanganya dunia kuwa wako better than other Africans check wanavyojaribu kuwakaribisha kenya kwa nguvu zote wakiiponda Tanzania na nchi nyingine...wanasahau watu wanafanya research na nashukuru kuna watu wamesema hapo Kenya ni even worse than Tanzania kwa corruption na bureaucracy
Sema na hao waliyatimba. Sisi tunataka kuondoka hapa Tz tukimbie hiz cartels zinazoendesha nchi wao walikuja hapa ( sema walikuja kipindi cha magu)
Taasisi zilizofanya wahame ni Uhamiaji na TRA.
View: https://youtu.be/AbxMwPYKiHU?si=OF9FOZ7DdZGXbmmB
Kwenye hii issue ya ranking sielewi kwa nini Tanzania haipandi juu, kila siku ni hapo hapo tu.
Mzee kwenye data manipulatings is another war. Hatujawa na Majasusi wa kazi hii.Kwenye hii issue ya ranking sielewi kwa nini Tanzania haipandi juu, kila siku ni hapo hapo tu.
Yani yata Madagascar wako juu yetu, sijawahi sikia Madagascar kwenye AFCON, Sijawahi sikia timu hata moja ya Madagascar kwenye mashindano ya Caf. Yani hata sielewi huwa wanafanyaje.
Hawawezi pita. Kule Zimbabwe wanagongwa. Wazimbabwe wapo kwenye war state minds zao untill now.Hilo group Kenya wakitulia wanapita, sema sasa wanatakiwa mechi zao ,a home wafanye hapa ili tuwape support. Huko Malawi nani anawashangilia.
Hao machawa ndo wanatuaribia hii nchi...
Nimependa hawa waamerica waliosema kuhusu Tanzania...na ni kweli sikatai kuna shida
Sijui viongozi wetu hiz video wanazitizama hiz?
Wameamua wakimbilie zao Botswana Maskini...
Kenyan na vimbelembele vyao vya kudanganya dunia kuwa wako better than other Africans check wanavyojaribu kuwakaribisha kenya kwa nguvu zote wakiiponda Tanzania na nchi nyingine...wanasahau watu wanafanya research na nashukuru kuna watu wamesema hapo Kenya ni even worse than Tanzania kwa corruption na bureaucracy
Sema na hao waliyatimba. Sisi tunataka kuondoka hapa Tz tukimbie hiz cartels zinazoendesha nchi wao walikuja hapa ( sema walikuja kipindi cha magu)
Taasisi zilizofanya wahame ni Uhamiaji na TRA.
View: https://youtu.be/AbxMwPYKiHU?si=OF9FOZ7DdZGXbmmB
Hamna lolote hapa, kama Dandora stadium tu.Azam Complex Stadium (Chamazi). Kama England mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🔥 🔥
View attachment 3092516View attachment 3092518View attachment 3092519View attachment 3092520View attachment 3092524View attachment 3092525
Kundustan is already dead. Dalili zote zinaonesha.Naona hata wewe umekubali mko na banana republic. 🤣 🤣
Mama Ngina kadambaza mbwa koko wake kila kona ili kubwekea maendeleo ya waafrikaHamna lolote hapa, kama Dandora stadium tu.
You do not have right to talk about football. Endeleeni na kukimbiaMmezoea nini? Hivi mna football stadium ya 60,000 seater? Hiyo Arusha sii football stadium na ujenzi haujaanza otherwise hamngenyamaza humu.
Wamalize tatizo labda uwaulize wataongeza lini tatizo la umeme?Kwani wana mipango gani ya kumaliza tatizo la umeme huko kundurenda JPM aliweka misingi imara ya kumaliza tatizo la umeme Tanzania walikuwa wako bize wakidai kaenda kutibiwa na kafia kwao
Robotic Buses kwenye vumbi!?Teargas analeta analog buses 2024 😀 😀 😀
Tanzania we are planing to start robotic bus services.
Kundudwellers bado wanasikiliza nasaha za Mama Ngina
Hiyo barabara ipo under construction kama una akili timamu utagundua kwa kuionaRobotic Buses kwenye vumbi!?
Kweli nimeamini Watanzania wengi vichaa.
Dodoma sasa eti
View attachment 3093018
I always don't talk with a hungry person.Robotic Buses kwenye vumbi!?
Kweli nimeamini Watanzania wengi vichaa.
Dodoma sasa eti
View attachment 3093018
The best SGR in East Africa ni ya Kenya then followed by Ethiopia. Reason being, they don't stall everyday.So?
Hata iharibike ichakae ni the best ukanda huu kutwa Vlogger wenu wako huku kuipanda.
Ajabu anayeumia ni Mkenya kuliko aliyonayo.