Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Compare and Contrast.

Third world country civilization 👇 👇
1725521440250-jpg.3092379

Vs First World civilization👇👇
IMG_20210417_152718_171.jpg

Tumewaacha mbali sanaaaaa
 
Attachments

  • 1725521440250.jpg
    1725521440250.jpg
    659.3 KB · Views: 41
Teargas, hawa ndugu zetu wa kusini wanavituko. Hawajui mbona wao huwekwa kundi la LDC. YAANI HAWANA HABARI MBONA.

NI WAELEZE LEO, VITU VIDOGO VIDOGO (Basic Things) ukipata barabara inatumiwa na mabasi au hata matatu, then hiyo barabara ni main. Kenya huwezi pata Main road hata kama ni Mandera, ama Turkana, inayo pitisha basi ama magari mangine ya abiria iwe haina lami. Hauwezi. Kama wanaushahidi walete tukague.

Lakini Tanzania. Ukifata Iringa hadi Mafinga hiyo barabara pekee iko na lami. Hakuna kwingine. Mikoa na mikoa utatembea hutapata lami. Hizo Iriza huenda zikitumia vumbi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ona hii Tashrifu ikipita Mbewe, 😂😂😂😂.
View attachment 3092374
Hata Njombe usidha kuna lami hata moja. Na kuna Airport sasa unashindwa. Hata Dodoma kwenyewe lami unahesabu tu. Unakuja na Burret Train ukishuka unachukua Honda fumbi tena kilomita 10 aisee!!!!
Njombe sasa
View attachment 3092376
Wakati mnaropoka haya Kenya huduma za kijamii ziko chini.
Jamaa kaleta picha pale watu wamepanga msururu wakisubiri matatu.
Hiko kitu Tanzania haukikuti, Tanzania ina good and sufficient public transport.
Hujatoka hapo huduma za maji,elimu na afya Tanzania viko bora kuliko Kenya.
Tanzania ina low inflation rate kuliko Kenya na Tanzania ina gharama ndogo za maisha kuliko Kenya.
Kenya hamuna cha kuringia ziadi ya magorofa,barabara ambazo hazina manufaa kwa raia na nyingi mnalipia levy ili mpite,mnaringia GDP ambayo 60% ni deni na mnaringia shilingi ambayo inawakandamiza ninyi wenyewe.

Ila mkiambiwa mlete miradi inayowagusa raia hamuna.
 
Screenshot_2024-09-08-08-25-21-23_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg

Unajielewa dogo!?
Basi Lenyewe sasa. Mwendo kasi My shoe.
Screenshot_2024-09-08-08-24-37-39_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
View attachment 3092399
Unajielewa dogo!?
Basi Lenyewe sasa. Mwendo kasi My shoe.
View attachment 3092401
Ona unavyochekesha.
Unaleta picha moja moja!??
Hii inaonesha umeishiwa hoja.
Hilo gari kupata itilafu ni tatizo la mmiliki.
Na daladala zipo kwa wingi,hukuti raia wakipanga mstari kama Kenya hata mara moja.
Na bado kuna mwendokasi barabara zake zinajengwa na mabasi yake yanatarajiwa kuongezeka.
Apart from matatu Kenya mna usafiri upi wa umma!???
Jibu hamuna.
Huna hoja unaropoka tuuuu.
 
hapana bro tusitetee kabisa hii issue bro

leo yako kwa mwenzio yatakuja kwako
Bro. Usinilishe maneno ambayo sijayaandika. Mbona na wewe unataka kuwa sehemu ya haya?

What the reason kunituhumu ninatetea?

I told you to study deception hivyo tu. Na comments zangu zote unapotupia hili jambo najaribu kuwa honest kukuonesha kuwa there are some dots you are missing.

Anzia aliyekuwa waziri wa mambo ya nje, kuja aliyekuwa waziri wa afya.

Wote wametokea wapi? Je, aliyeuawa naye katokea wapi?

Try to be intelligent kidogo ndugu yangu uweze connect few dots.
 
Teargas, hawa ndugu zetu wa kusini wanavituko. Hawajui mbona wao huwekwa kundi la LDC. YAANI HAWANA HABARI MBONA.

NI WAELEZE LEO, VITU VIDOGO VIDOGO (Basic Things) ukipata barabara inatumiwa na mabasi au hata matatu, then hiyo barabara ni main. Kenya huwezi pata Main road hata kama ni Mandera, ama Turkana, inayo pitisha basi ama magari mangine ya abiria iwe haina lami. Hauwezi. Kama wanaushahidi walete tukague.

Lakini Tanzania. Ukifata Iringa hadi Mafinga hiyo barabara pekee iko na lami. Hakuna kwingine. Mikoa na mikoa utatembea hutapata lami. Hizo Iriza huenda zikitumia vumbi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ona hii Tashrifu ikipita Mbewe, 😂😂😂😂.
View attachment 3092374
Hata Njombe usidha kuna lami hata moja. Na kuna Airport sasa unashindwa. Hata Dodoma kwenyewe lami unahesabu tu. Unakuja na Burret Train ukishuka unachukua Honda fumbi tena kilomita 10 aisee!!!!
Njombe sasa
View attachment 3092376
We unaongea upumbavu gani sijui. 😂😂😂 hakuna moja hapa Tz ambao haujaunganishwa kwa lami, popote pale uendako.
 
Back
Top Bottom