Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja tuangalie mtani nae atafanyaje 😁
 
You still think tumekwama kwa past kama nyinyi?😂😂🤣👇👇👇

View attachment 3091440
Usituchekeshe kijana, yote aliyoweka ni full functioning Kenya mpaka CBD.

Hizo za kuremba ni chache sana unakuta ni for only lucrative route basi.

For your info Mabasi ya kuchonga na nyundo tuliachana nayo 2010s. Yaani mabasi ya mateso.
 
Hongera jirani let's fly the East African flag high.
Hakuna kitu wamecheza na wajinga wenzako wasiojua mpira 😆😆

Bora Rwanda Wapewe hongera Kwa sare tasa na Nigeria,Sasa Namibia wanajua nini wale? Hapo ni vipofu wanaongozana 😁😁
 
Hakuna kitu wamecheza na wajinga wenzako wasiojua mpira 😆😆

Bora Rwanda Wapewe hongera Kwa sare tasa na Nigeria,Sasa Namibia wanajua nini wale? Hapo ni vipofu wanaongozana 😁😁
Namibia Vs Vumbistan😂😂🤣

1725994596682.png
 
Back
Top Bottom