Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Azam Complex Stadium (Chamazi). Kama England mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🔥 🔥
1725971639357.jpg
1725971645872.jpg
1725971649976.jpg
1725971653498.jpg
1725971662315.jpg
1725971673308.jpg
 
Attachments

  • 1725971658673.jpg
    1725971658673.jpg
    1,018.9 KB · Views: 17
Tembea kijana, nyie bado sanaa.
Kwanza unapajua hapa!?
View attachment 3092475
Wivu ukizidi uwa unafanya mtu awe chizi
Umetafta umechoka. Sasa unafanya nini hii!? Barabara zimefunikwa na landslide wakati wa mafuriko. Haya sasa barabara ipi hiyo!?
Nimekusihi uache kabisa kuongelea mambo ya Transport Maana Kundudwellers hawana haki hiyo

View attachment 3092416
Ukaona hiyo ni barabara!?
Tanzanians nyinyi ni LDC na vigezo vipo
20240910_105328.jpg
 
Teargas, hawa ndugu zetu wa kusini wanavituko. Hawajui mbona wao huwekwa kundi la LDC. YAANI HAWANA HABARI MBONA.

NI WAELEZE LEO, VITU VIDOGO VIDOGO (Basic Things) ukipata barabara inatumiwa na mabasi au hata matatu, then hiyo barabara ni main. Kenya huwezi pata Main road hata kama ni Mandera, ama Turkana, inayo pitisha basi ama magari mangine ya abiria iwe haina lami. Hauwezi. Kama wanaushahidi walete tukague.

Lakini Tanzania. Ukifata Iringa hadi Mafinga hiyo barabara pekee iko na lami. Hakuna kwingine. Mikoa na mikoa utatembea hutapata lami. Hizo Iriza huenda zikitumia vumbi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ona hii Tashrifu ikipita Mbewe, 😂😂😂😂.
View attachment 3092374
Hata Njombe usidha kuna lami hata moja. Na kuna Airport sasa unashindwa. Hata Dodoma kwenyewe lami unahesabu tu. Unakuja na Burret Train ukishuka unachukua Honda fumbi tena kilomita 10 aisee!!!!
Njombe sasa
View attachment 3092376
Sasa na utuambie Chalinze mabasi yanapita kwa barabara za vumbi.. Hv kwanza hki ulichokiandika umekitoa wapi🤣

20240910_161821.jpg
20240910_161848.jpg
 
BRT wakundustan walijaribu kuiga ili waipite Tanzania wakaishia kuwehuka kwa kupaka lipsticks barabarani na kutokomea kusikojulikana, hawakujua BRT ni system

View: https://youtu.be/EiGCXknIyhg?si=G-MkLNDn3NFIz54k

BRT kuwa nayo sofa tu ila kwa uchumi hamna lolote. Wakenya hawataki sifa za kijinga, hiyo biashara ya Matatu pekee ni Industry yenye mapato kuzidi mapato ya serikali yenu. BRT sioni hata Ikijengwa Kenya. Na tena sio lazima. Sio lazima nchi kuwa na Bullet Trains, hata USA hawana, kama zenu hizo mnashuka Dodoma mkichukua Honda kwa vumbi. Miezi mitatu imegwama mara kumi na kitu. Kenya inapiga kazi kimya kimya. Ukishushwa kwenye stesheni unapanda commuters Train au basi, unauhakika na safari. Mbona Watz hamna akili!?

Screenshot_2024-09-10-16-10-15-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

1 SGR
2 MGR (Commuter Rail)
Nairobi_Terminus_transfer_from_SGR_to_Meter_Gauge (1).jpg

images (4).jpeg
Buss-600x400.jpg

Haya leta hiyo cave ya Dodoma ambayo hata mchana lazima taa ziwashwe.
 
BRT kuwa nayo sofa tu ila kwa uchumi hamna lolote. Wakenya hawataki sifa za kijinga, hiyo biashara ya Matatu pekee ni Industry yenye mapato kuzidi mapato ya serikali yenu. BRT sioni hata Ikijengwa Kenya. Na tena sio lazima. Sio lazima nchi kuwa na Bullet Trains, hata USA hawana, kama zenu hizo mnashuka Dodoma mkichukua Honda kwa vumbi. Miezi mitatu imegwama mara kumi na kitu. Kenya inapiga kazi kimya kimya. Ukishushwa kwenye stesheni unapanda commuters Train au basi, unauhakika na safari. Mbona Watz hamna akili!?

View attachment 3092551
1 SGR
2 MGR (Commuter Rail)
View attachment 3092552
View attachment 3092555View attachment 3092556
Haya leta hiyo cave ya Dodoma ambayo hata mchana lazima taa ziwashwe.
Unajiaibisha. Dunia yote inajua transport system in Kundustan is horrible
 
BRT kuwa nayo sofa tu ila kwa uchumi hamna lolote. Wakenya hawataki sifa za kijinga, hiyo biashara ya Matatu pekee ni Industry yenye mapato kuzidi mapato ya serikali yenu. BRT sioni hata Ikijengwa Kenya. Na tena sio lazima. Sio lazima nchi kuwa na Bullet Trains, hata USA hawana, kama zenu hizo mnashuka Dodoma mkichukua Honda kwa vumbi. Miezi mitatu imegwama mara kumi na kitu. Kenya inapiga kazi kimya kimya. Ukishushwa kwenye stesheni unapanda commuters Train au basi, unauhakika na safari. Mbona Watz hamna akili!?

View attachment 3092551
1 SGR
2 MGR (Commuter Rail)
View attachment 3092552
View attachment 3092555View attachment 3092556
Haya leta hiyo cave ya Dodoma ambayo hata mchana lazima taa ziwashwe.
Humu umeandika upuuzi mtupu 😂😂😂😂.
 
Back
Top Bottom