Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao machawa ndo wanatuaribia hii nchi...
Nimependa hawa waamerica waliosema kuhusu Tanzania...na ni kweli sikatai kuna shida

Sijui viongozi wetu hiz video wanazitizama hiz?
Wameamua wakimbilie zao Botswana Maskini...

Kenyan na vimbelembele vyao vya kudanganya dunia kuwa wako better than other Africans check wanavyojaribu kuwakaribisha kenya kwa nguvu zote wakiiponda Tanzania na nchi nyingine...wanasahau watu wanafanya research na nashukuru kuna watu wamesema hapo Kenya ni even worse than Tanzania kwa corruption na bureaucracy


Sema na hao waliyatimba. Sisi tunataka kuondoka hapa Tz tukimbie hiz cartels zinazoendesha nchi wao walikuja hapa ( sema walikuja kipindi cha magu)

Taasisi zilizofanya wahame ni Uhamiaji na TRA.

View: https://youtu.be/AbxMwPYKiHU?si=OF9FOZ7DdZGXbmmB

Kuna AA wengi sana hapo TZ,kuna wengine wanakuja wakiwa hawana pesa halafu wanataka mteremko hasa hao youtubers,kuna AA waliokuja na pesa wengi wameyaweza maisha ya TZ na ni wengi mno hasa watu wazima,kuna mmoja namjua yuko arusha,pension yake anayolipwa na serikali ya marekani kwa mwezi inamfanya aishi maisha mazuri mno,hao uliowapost ni maskini halafu wana watoto7 hata huko south awatopaweza
 
Achana na watu kama hawa, hawajui wanachokifanya. Mbona kuna success stories za wamarekani wengi tu hapa Tanzania, kuna wafanyabiashara kutoka kila kona ya dunia na wanapata mafanikio makubwa tu.

Huwezi kuja hapa na mentality yako ya superiority complex halafu uachwe tu. Tatizo la wengi kama hawa wakija huku na vidola 5000 vyao wanaona kama wamekuja kutusaidia. They are always talking about helping Africa, sijui food security wakati wao wenyewe wanajaa tu......

Achana nao hawa!

View: https://youtu.be/xMVWRLVxxI4?si=brOfwZEQb-jmtnod kuna huyu mzee AA yuko TZ anaishi fresh kuliko alivyokua kwao,huyu alikuja na pesa sio maneno kama hao youtubers
 
Mbona si tukiwa kwao mengi tu yanatukuta na hatuendi Youtube kulalamika?
Lwao ni worse, taasisi zao ni hovyo mno kwa wageni, inashangaza wanataka huku watretiwe sposho na miafrika mijinga inawapa vichwa.
Ni vema tuzichukue hizo changamoto positive na kuzitatua...

Hizo changamoto za kuwekeza Tz haziwakumbi wao tu hata watz wazawa zinawakuta sana ndo maana kuna migomo kila mara.

Hakuna mfumo mzr wa kueleweka wa mtu kuanzisha biashara au kuwekeza hapa nchini ( bureaucracy imetawala sana)
Na wawekezaji waliotoka nchi zenye mifumo iliyonyooka hawawezi kuvumilia hizo process ..si tunavumilia kwa sababu ni watz.

Bunge ndo kazi yake hiyo kutunga sheria za kutatua changamoto hiz maana zinatatulika.
Vinginevyo nchi haitapiga hatua kamwe kiuchumi na watu wataikwepa.

Hio video kwa wenye akili wangeijadili vzr na kutatua hayo mapungufu....
 
Kuna AA wengi sana hapo TZ,kuna wengine wanakuja wakiwa hawana pesa halafu wanataka mteremko hasa hao youtubers,kuna AA waliokuja na pesa wengi wameyaweza maisha ya TZ na ni wengi mno hasa watu wazima,kuna mmoja namjua yuko arusha,pension yake anayolipwa na serikali ya marekani kwa mwezi inamfanya aishi maisha mazuri mno,hao uliowapost ni maskini halafu wana watoto7 hata huko south awatopaweza
Hamjui kuishi na wageni, walikuja wakati wa Covid baada ya kukaribishwa na Maghu. Leo hii wengi wamehamia Kenya, SA, Ghana na Nigeria. Bongolalas and your petty government have frustrated them. Kila uchao huko YouTube kumejaa complaints from African Americans on why bongoslum is full of sh*t.
 
The best SGR in East Africa ni ya Kenya then followed by Ethiopia. Reason being, they don't stall everyday.
Please answer the question

1726037671099.png
 
Hamjui kuishi na wageni, walikuja wakati wa Covid baada ya kukaribishwa na Maghu. Leo hii wengi wamehamia Kenya, SA, Ghana na Nigeria. Bongolalas and your petty government have frustrated them. Kila uchao huko YouTube kumejaa complaints from African Americans on why bongoslum is full of sh*t.

View: https://youtu.be/xMVWRLVxxI4?si=brOfwZEQb-jmtnod mfuatilie huyu,alianza ghana kukamshindwa,now yupo TZ amenunua hadi nyumba na amewekeza,hapo anapoishi ni nyumbani kwake,kwa ndani kajenga mpaka kanisa,uje na usd elfu 5 na watoto 7 utegemee mteremko,hata hao wanaoondoka huko waendako uwa hawakai sana wengine wanarudi TZ wengine america
 
Kwenye hii issue ya ranking sielewi kwa nini Tanzania haipandi juu, kila siku ni hapo hapo tu.
Yani yata Madagascar wako juu yetu, sijawahi sikia Madagascar kwenye AFCON, Sijawahi sikia timu hata moja ya Madagascar kwenye mashindano ya Caf. Yani hata sielewi huwa wanafanyaje.
We jiulize nchi kama kenya inakaaje juu ya Tanzania, sio football nation, Afcon hawaendi klabu zao ziko hovyo, hawana viwanja vyenye ubora, ligi yao ni dhaifu, na mbaya zaidi wamekuwa wakifungiwa kila siku na FIFA lkn cha ajabu wapo juu ya Tanzania, tulilala sanaaa.
 
Back
Top Bottom