Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipofu wote hamna kitu hapo tena kundi lenu Lina vibonde watupu except Cameron 😆😆
Wewe hawatoboi hilo group, mechi ya kwanza wamesuruhu na Zimbabwe hom so lazima waende Harare wakatom.bw.e na lazima waende Yaounde, yn hawatoboi. Wakwanza atakuwa Cameroon, wapili Zimbabwe, hii michuano atleast mwaka huu zitaenda timu mbili ukanda huu, Tanzania na Uganda, tumechoka kuwa pekeetu daily.
 
Mbona unatuwekea refurbished trains that stall everyday?😂😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 We Teargas bana. Kwamba hukuona toka ikiwa kiwandani mpaka Test?

Mpaka udai hivyo speaking from experience na vyuma vyenu?

1000051049.jpg


Ukiona vyako viko hivi usidhani na mwenzako yuko kama wewe kijana.

1000158920.jpg

1000158921.jpg
 
Back
Top Bottom