Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
HIi route wala aikua official maana hata huko kibaha kwenyewe barabara ya mwendokasi haipo
Na wewe kwa akili yako ama kusoma kulisoma ni kuwa efficient transport ni BRT !? Nataka nijue fikra hizo ni zako tu ama ulisoma shule, ama kakwambia mtu😳😳😳
View attachment 3092649