Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hii ni mara yake ya saba kukwama sasa😂😂🤣😂.🤣 🤣 🤣 Kwani hii train ya bongoslum hukwama kila siku. 🤣🤣🤣
Waliuziwa screpa 😂😂🤣😂🤣 🤣 🤣 Kwani hii train ya bongoslum hukwama kila siku. 🤣🤣🤣
Ndege zinawasumbua, BRT buses zinawasumbua, running the port inawasumbua nilijua tu hizi train zitawasumbua pia. 🤣🤣🤣Hii ni mara yake ya saba kukwama sasa😂😂🤣😂.
Within 2 months they have already had 7 stalls, I’m trying to figure the number of times itakwama after one year of operation 😂😂🤣😂
Lack of skilled labour. 🤣🤣🤣 Nikama Koreans hawakuwapatia manual.Waliuziwa screpa 😂😂🤣😂
Second hand items hazikujangi na manuals😂😂🤣😂Lack of skilled labour. 🤣🤣🤣 Nikama Koreans hawakuwapatia manual.
Finyaaaa 🤣 🤣 🤣Second hand items hazikujangi na manuals😂😂🤣😂
Football Nation katika ubora wake
View: https://x.com/Harambee__Stars/status/1833565197589746064?t=LDhexRb_GtkLu980bIXB4w&s=19
Hao machawa ndo wanatuaribia hii nchi...daraja la wami?? 😂😂😂😂 anhh jamani
Hao machawa ndo wanatuaribia hii nchi...
Nimependa hawa waamerica waliosema kuhusu Tanzania...na ni kweli sikatai kuna shida
Sijui viongozi wetu hiz video wanazitizama hiz?
Wameamua wakimbilie zao Botswana Maskini...
Kenyan na vimbelembele vyao vya kudanganya dunia kuwa wako better than other Africans check wanavyojaribu kuwakaribisha kenya kwa nguvu zote wakiiponda Tanzania na nchi nyingine...wanasahau watu wanafanya research na nashukuru kuna watu wamesema hapo Kenya ni even worse than Tanzania kwa corruption na bureaucracy
Sema na hao waliyatimba. Sisi tunataka kuondoka hapa Tz tukimbie hiz cartels zinazoendesha nchi wao walikuja hapa ( sema walikuja kipindi cha magu)
Taasisi zilizofanya wahame ni Uhamiaji na TRA.
View: https://youtu.be/AbxMwPYKiHU?si=OF9FOZ7DdZGXbmmB
Endelea kujifariji kwa picha za zamani.
Ushajiumbua.
Mkuu piga picha mji peke yake ukiweka na hao viumbe unatutoa mchezoni, badala ya kuzoom mji kuna pahala nimezoom 😂