ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wasanii wadogo Tu Tanzania
View: https://www.instagram.com/reel/C_gUtzGs-4l/?igsh=MTQ3MHNpNTFkMG41ag==
View: https://www.instagram.com/reel/C_gUtzGs-4l/?igsh=MTQ3MHNpNTFkMG41ag==
Si ni ukweli. 🤣 🤣 🤣Wacha hasira we nae 😅😅😅😅😅
ofisi ya mabati hahaha Kenya hapana 🙌🤣
View: https://x.com/KenyanSays/status/1831244034532061509?t=3_9P7e81TQs7XlFSIlx9Cg&s=19
Sijui ni waziri mgani unaongelea lakini kama alikuwa na Kiingereza kibovu, naweza kuhakikishia yeye sii golden standard wa Kiingereza hapa Kenya, in fact utapata Wakenya wakimkejeli. Hapo kwenu Kiingereza Cha kuokota ila mnapigia makofi eti yeye ndiye gwiji.🤣🤣Yule Waziri wenu aliekuwa anaongea broken na video iko humu ni high school dropout?
Maanake ni, you're too poor to be noticed by China. Relationship between you two is simply china helping you , otherwise there's nothing significant China can gain from you. Kiingereza huwa balaa kwenu, omba msaada ufafanuliweHiyo ni methali, nahau au msemo? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Maana yake ni nini?
Unarukaruka tu. Huyu umesema ni kama dropout huko kwenu. Sasa kama huyu ni dropout huyo Waziri au MP wenu ni level gani? Hunidanganyi chochote na Kiingereza cha Wakenya nishadili nao ndani na nje ya Tz hawana jipya.Sijui ni waziri mgani unaongelea lakini kama alikuwa na Kiingereza kibovu, naweza kuhakikishia yeye sii golden standard wa Kiingereza hapa Kenya, in fact utapata Wakenya wakimkejeli. Hapo kwenu Kiingereza Cha kuokota ila mnapigia makofi eti yeye ndiye gwiji.🤣🤣
Sidhani kama Kuna waziri anayeeongea Kiingereza kibovu Kenya. Labda mwana siasa tu. Na mwanasiasa anaweza kuwa mtu yeyote hata yule asiye na masomo, bora una unaweza kuwashawishi wananchi wakupigie kura. Otherwise post hiyo video tuone. Usikuwe unakoroga story zako za jaba unazileta humu kama factsUnarukaruka tu. Huyu umesema ni kama dropout huko kwenu. Sasa kama huyu ni dropout huyo Waziri au MP wenu ni level gani? Hunidanganyi chochote na Kiingereza cha Wakenya nishadili nao ndani na nje ya Tz hawana jipya.
Sina muda huo. Video ipo humu tafuta. Asilimia kubwa mna Kiingereza kibovu labda mtu ambae hawajui Wakenya ndio anafikiri mnajua Kiingereza.Sidhani kama Kuna waziri anayeeongea Kiingereza kibovu Kenya. Labda mwana siasa tu. Na mwanasiasa anaweza kuwa mtu yeyote hata yule asiye na masomo. Otherwise post hiyo video tuone. Usikuwe unakoroga story zako za jaba unazileta humu kama facts
Of course you can't prove it. What else would I expect?Sina muda huo. Video ipo humu tafuta. Asilimia kubwa mna Kiingereza kibovu labda mtu ambae hawajui Wakenya ndio anafikiri mnajua Kiingereza.
Kuna uhusiano wowote kati ya Panya na Tembo?Maanake ni, you're too poor to be noticed by China. Relationship between you two is simply china helping you , otherwise there's nothing significant China can gain from you. Kiingereza huwa balaa kwenu, omba msaada ufafanuliwe
Kuna uhusiano wowote kati ya China na Vumbistan?Kuna uhusiano wowote kati ya Panya na Tembo?
Mkundustan unashida kichwani. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nenda shule achana na Mama Ngina Education SystemKuna uhusiano wowote kati ya China na Vumbistan?
Can you speak English?Mkundustan unashida kichwani. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nenda shule achana na Mama Ngina Education System
Ukiwaumbua kwenye Kiingereza chao (cha ugoko) wanakuwa wapole kama kuku kamwagiwa maji ya baridi.😎😎😎Unarukaruka tu. Huyu umesema ni kama dropout huko kwenu. Sasa kama huyu ni dropout huyo Waziri au MP wenu ni level gani? Hunidanganyi chochote na Kiingereza cha Wakenya nishadili nao ndani na nje ya Tz hawana jipya.
I do not speak Endukashoni, Intanashoni 😀 😀 😀 aka broken EnglishCan you speak English?
Nawashangaa sana nyang'au wanapojisifia na lugha ya mkoloni wao😁I do not speak Endukashini, Intanashoni 😀 😀 😀 aka broken English
I can only engage in English bozo. Sorry.I do not speak Endukashoni, Intanashoni 😀 😀 😀 aka broken English