Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona hii mbusi.
Kwahiyo kitu kihit hadi kiwe na viewers hao youtube??
Kama haija hit kwanini Paris walimuita akafanye show!?
Kama haijahit Jason Derulo ameijuaje na akataka afanye nae remix!?
Nyimbo hadi bar za France Paris inapigwa komasava wewe unasema haijahit!??
Sio kila kitu cha kubishana mkuu, vingine unaacha vipite 😅😅😅😅
 
Hata Stivo Simple Boy ameitwa kuenda kufanya show Dubai yet anaimba tu matope😂😂🤣😂.

Komasava inachezwa Europe because of Jason Derulo, without Derulo hiyo ngoma haingehit😂😂😂.

Diamond ndio alitafuta Derulo and not the other way round😂😂
Ila we jamaa bhn kwa kulazimisha nyekundu kuwa njano hujambo 😅😅😅😅😅😅😅

Muda mwingi nimekuwa nikikufuatilia humu unapinga kila kitu, duuhh wewe ni kiboko aisee 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Hata Stivo Simple Boy ameitwa kuenda kufanya show Dubai yet anaimba tu matope😂😂🤣😂.

Komasava inachezwa Europe because of Jason Derulo, without Derulo hiyo ngoma haingehit😂😂😂.

Diamond ndio alitafuta Derulo and not the other way round😂😂
😂😂😂😂 Teargas bana I like the way unatwist mambo 😂😂😂
 
Nchi maskini hata kurefurbish reli munahitaji msaada kutoka China. 🤣 🤣 🤣 Bongoslum hamna engineers wanaweza kufix reli yani.
Mbona ya TRC kutoka jointed kwenda continuous welded tunafanya kazi wenyewe?
Wakandarasi waliokuwepo ni wenye mashine tu wanasimamia mashine zao.
Hiyo TAZARA inafanyiwa ukarabati mkubwa kila idara kijana.
 
Back
Top Bottom