Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo reli ispokua continuous welded haiwezi fanya kazi? 🤣 🤣
Ona huyu asivyo na akili.
Reli ya kisasa ni continuos welded.
I wonder kwa ufala wenu ndio maana mchina kawajengea hadi Sgr ambayo ni jointed rail.
Jointed rail haina ufanisi mkubwa kwenye mwendo.
Wenzenu wanaboresha miundombinu ninyi mnabaki kizamani.
 
Iringa airport 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Screenshot_20240825-212306.jpg
 
Refurbishment imebadilisha meaning kwani? 🤣 🤣 🤣 Meter Gauge yetu tulijfanyia refurbishment na inafanya kazi vizuri sana. Nyinyi lazima musaidiwe na China baada kusamehewa deni. 🤣🤣
Acha kuropoka ropoka nyie mpaka Road unaenda kuomba msaada fala wewe alafu unatuletea mambo ya kiwaki?

Mbona mlienda kupiga magoti msogeweze mda wa madeni yaani hadi hiyo Studium ya Talanta ni Kudra za Mchina alafu unaleta mdomo kama mmejenga fully wenyewe.

Why msiondoe Toll kwa expressway nyie matajiri.
 
Ona huyu asivyo na akili.
Reli ya kisasa ni continuos welded.
I wonder kwa ufala wenu ndio maana mchina kawajengea hadi Sgr ambayo ni jointed rail.
Jointed rail haina ufanisi mkubwa kwenye mwendo.
Wenzenu wanaboresha miundombinu ninyi mnabaki kizamani.
Ushaakuwa expert wa reli Sasa?😂😂
I love how these Vumbistan kids become 'experts' just by listening to their fellow Vumbistan hogwash on this thread.😂😂
 
Ushaakuwa expert wa reli Sasa?😂😂
I love how these Vumbistan kids become 'experts' just by listening to their fellow Vumbistan hogwash on this thread.😂😂
Mzee wa Ndovu na Panya. 😀 😀 😀. Ulinichekiesha sana jana.

Hebu rudia huo msemo wako nicheke tena.
 
Ushaakuwa expert wa reli Sasa?😂😂
I love how these Vumbistan kids become 'experts' just by listening to their fellow Vumbistan hogwash on this thread.😂😂
Umeambiwa ukweli unaanza kulia!??
Kwani uongo kuwa jointed rail ni mtindo wa zamani!??
Ukoo wangu umelelewa na reli TRC tokea enzi za East Africa railway.
Nenda kawaulizie kina KIPPAYA ni sisi peke yao kwenye shirika la reli.
 
Back
Top Bottom