Yani vita kila Kona ya nchi, roho mbaya kila sehemu ya nchi yenye laana hiii
View: https://x.com/StandardKenya/status/1830954423025017341?t=G4m6VJg5Tl6eQKnqyv_k0g&s=19

Cheap argumentFirisika ❌
Filisika ✔️
Did you attend any writing and pronunciation class?
Tanzania is more hungry than Kenya.
Wanasema Kiswahili ni 'rugha' yao.🤣🤣Firisika ❌
Filisika ✔️
Did you attend any writing and pronunciation class?
Sio tu PSG huyo hadi Laliga kaenda na kakutana na viongozi wa soka kibao tu.Rais WA yanga kakutana na mbape kakutana na Rais wa PSG na husikii kelele😅
View attachment 3086333
Mbio mbio uchafu uliotupwa na beggars kutoka tanzania umeondolewa chini ya expressway.
View: https://x.com/RodgersKipembe/status/1830869776232550777?t=0ORBVMkRsd8C85zdS4_OnA&s=19
Hii SGR extension ya Kenya itakuwa ya Diesel kama kawaida au ya umeme?
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1831158643758108727?t=psd6PKmwhAmFd2YOEW4z5w&s=19
Haya ndiyo Virtual Life ya Kundudwellers 🤣 🤣 🤣 🤣 Wanatamani kitu kama hiki kishuke kutoka mbinguni leo hii. Wanamwambia mchina atoe pesa kujenga kitu kama hiki. What is the Economical benefit?Kabla hujauliza kuhusu diesel au umeme,uliza kwanza itakua continuous welded au jointed ya nginjanjinja!?
Akili hawana hawa.Haya ndiyo Virtual Life ya Kundudwellers 🤣 🤣 🤣 🤣 Wanatamani kitu kama hiki kishuke kutoka mbinguni leo hii. Wanamwambia mchina atoe pesa kujenga kitu kama hiki. What is the Economical benefit?
View attachment 3086489
Hii SGR extension ya Kenya itakuwa ya Diesel kama kawaida au ya umeme?
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1831158643758108727?t=psd6PKmwhAmFd2YOEW4z5w&s=19
Mchina hawezi kuwapa pesa za kujenga SGR ambayo itamletea yeye mwenyewe competition, mchina kashafunga ukurasa kuhusu SGR ya Kenya
View attachment 3086513
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/1831212910561128731?t=f8rA5NvyLj84XKtFpfEKTw&s=19
Aliitwa legend? Kama aliitwa post hapa nihame huu uzi. Wa kwenu wanakimbia kupiga picha na mastaa, wa kwetu ndio staa, wanakimbia kupiga picha naye alafu wanampost kwa page yao kama legend. Kuna tofauti kubwa sana hapo.🤣 🤣Sio tu PSG huyo hadi Laliga kaenda na kakutana na viongozi wa soka kibao tu.
Ni ulimbukeni wa Kikenya bragging always.
Kipofu kaona mwezi.
Pesa pekee watakayopewa ni hii ya kufufua miradi ya barabara zao zilizokwama toka uhuru atoke madarakani na kuomba nyongeza ya muda wa kulipa madeni ya SGR na infrastructures nyingineUmeniwahi. Hatukumuona Ruto akisaini mkataba wowote mbele ya Rais wa China.