Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kipchoge is a legend. The greatest marathoner of all times. Hakuna nchi utakayoenda ambayo Kipchoge hajulikani. Kipchoge ana sanamu nchi za ugenini (Nike European headquarters, Netherlands). Huyo Hersi ndio mara ya kwanza naskia jina lake Yani hata hapo hapo Bongo Kuna watu hawamjui. Utakuwa mwehu kulinganisha huyo mtu wa kawaida na Kipchoge. Mwambie aendelee kutafuta wa kupiga nao picha, aeche Manchester pia akapige huko picha ajipost.

View attachment 3086634
Hakuna asiyemjua Hersi Said hapa Tanzania.
Hususan Afrika kimpira hakuna asiyemjua.
Na Hersi Said hatafuti wa kupiga naye picha yeye hupiga picha inapobidi.

Hilo sanamu la Kipchoge kuwepo ugenini kumewaletea massive impact ipi Kenya!??
Hersi Said yeye kwenda kwake Ulaya hususan Spain Laliga kumevuta wawekezaji wa mpira wa miguu Tanzania na vijana wengi wamepata fursa ya kwenda football academy za Ulaya pia Laliga wamewekeza hapa Tanzania.
Hiyo ime result into excess jobs in Tanzanian football.
Ajira zimekua nyingi na vijana wengi wanaajiriwa.
Pia mpira sasa Tanzania umeonekana kuwa ni biashara inayolipa kiasi watu wanawekeza hadi $100 millions.
Sasa utueleze wewe Kipchoge kaleta massive impact gani kwa Kenyan citizens???
NASUBIRI JIBU.
 
Haya ni mambo ya wenye elimu tu Un Educated person from Kundustan huwezi elewa

Casual Dressing:
  • Purpose: Designed for comfort and personal expression, casual dressing is often worn in informal settings like outings, weekend activities, or when you're just relaxing.
  • Typical Items: Jeans, T-shirts, sneakers, casual dresses, shorts, and sandals.
  • Style: The style can vary widely from laid-back and simple to trendy and chic, depending on personal preferences.
  • Occasions: Social gatherings, casual workplace environments, weekends, shopping, or any informal activity.

Official Dressing:
  • Purpose: Intended to create a professional and polished appearance, official dressing is often required in workplaces or formal events where a certain level of decorum is expected.
  • Typical Items: Suits, blazers, dress shirts, ties, formal dresses, skirts, dress shoes, and accessories like cufflinks or watches.
  • Style: The style is generally more conservative and uniform, focusing on neatness, sophistication, and professionalism.
  • Occasions: Business meetings, job interviews, formal events, professional work environments, or any situation where a professional image is necessary.

Key Differences:
  • Comfort vs. Formality: Casual dressing prioritizes comfort, while official dressing emphasizes formality and professionalism.
  • Flexibility vs. Structure: Casual dressing offers more freedom in style and expression, whereas official dressing is often more structured and follows specific dress codes.
  • Settings: Casual attire is suitable for informal settings, while official attire is required for professional or formal environments.
Copy and Paste kama kawaida. 🤣 🤣
 
Impact of Tanzania Electric SGR Congo Minerals
Nani utamwambia afanye Investment hii kwenye SGR atakataa?

1725438716653.png

1725438496845.png
 
Hakuna asiyemjua Hersi Said hapa Tanzania.
Hususan Afrika kimpira hakuna asiyemjua.
Na Hersi Said hatafuti wa kupiga naye picha yeye hupiga picha inapobidi.

Hilo sanamu la Kipchoge kuwepo ugenini kumewaletea massive impact ipi Kenya!??
Hersi Said yeye kwenda kwake Ulaya hususan Spain Laliga kumevuta wawekezaji wa mpira wa miguu Tanzania na vijana wengi wamepata fursa ya kwenda football academy za Ulaya pia Laliga wamewekeza hapa Tanzania.
Hiyo ime result into excess jobs in Tanzanian football.
Ajira zimekua nyingi na vijana wengi wanaajiriwa.
Pia mpira sasa Tanzania umeonekana kuwa ni biashara inayolipa kiasi watu wanawekeza hadi $100 millions.
Sasa utueleze wewe Kipchoge kaleta massive impact gani kwa Kenyan citizens???
NASUBIRI JIBU.
Kwa hivo Hersi ndio mwenye club zote za mpira bongo? Kwa hivo bila Hersi hakuna mpira bongo?🤣🤣🤣

Kupiga picha hata wewe ukienda kuangalia mpira PSG unaweza tafuta hao mastaa ukapiga picha nao ila kuwekwa kwa page yao uitwe Legend hamna Mtanzania hata mmoja anaweza hilo. Hata Rais wenu hawezi.

Wacha ujinga. Next utasema Hersi amemshinda Ronaldo?

Una akili ya kitoto sana. Never mention kipchoge the legend na huyo Hersi. The respect alone that that name brings to Africa is bigger than the whole football industry of bongoland. Kipchoge name is bigger than the whole Simba club, leave alone Hersi. Ukitaja kipchoge popote hapa ulimwenguni wanamjua, ukitaja Simba wanajua ni yule wa Lion King.🤣
 
Wewe acha kutukazia mishipa, leo mchina ndio Kawa mbaya huku kila siku mnapost sgr, expressway, thika highway, Talanta stadium, GTC na zote hizo ni mali za mchina, kikubwa hapa ni kwamba Tanzania inazidi kuaminika na kuingia multi-billion dollars deals huku ninyi mkiambulia huruma ya debt payments extension, nioneshe mradi wa maana mliosign kama ninyi kweli ni infrastructural powerhouse hii region! We huogopi tuna miradi chungu mzima ya bei mbaya na bado tunaaminika tunapata mingine mipya ya bei mbaya 😂😂😂 ninyi kimtambo cha gongo km 400 miaka 10 sasa mnapumulia mirija 😂😂
Amejificha kwenye kichaka cha "tuko tofauti kifikra" kumbe ni ukabila. 😂😂😂
 
Kipchoge is a legend. The greatest marathoner of all times. Hakuna nchi utakayoenda ambayo Kipchoge hajulikani. Kipchoge ana sanamu nchi za ugenini (Nike European headquarters, Netherlands). Huyo Hersi ndio mara ya kwanza naskia jina lake Yani hata hapo hapo Bongo Kuna watu hawamjui. Utakuwa mwehu kulinganisha huyo mtu wa kawaida na Kipchoge. Mwambie aendelee kutafuta wa kupiga nao picha, aeche Manchester pia akapige huko picha ajipost.

View attachment 3086634
Naoan kipchonge kageuka miradi ya maendeleo🤣🤣🤣🤣.
Yaaan humu Kuna vitu viwili wakenya we wanapost. Kipchonge na kijihoshpitalis chao
 
Kwa hivo Hersi ndio mwenye club zote za mpira bongo? Kwa hivo bila Hersi hakuna mpira bongo?🤣🤣🤣

Kupiga picha hata wewe ukienda kuangalia mpira PSG unaweza tafuta hao mastaa ukapiga picha nao ila kuwekwa kwa page yao uitwe Legend hamna Mtanzania hata mmoja anaweza hilo. Hata Rais wenu hawezi.

Wacha ujinga. Next utasema Hersi amemshinda Ronaldo?

Una akili ya kitoto sana. Never mention kipchoge the legend na huyo Hersi. The respect alone that that name brings to Africa is bigger than the whole football industry of bongoland. Kipchoge name is bigger than the whole Simba club, leave alone Hersi. Ukitaja kipchoge popote hapa ulimwenguni wanamjua, ukitaja Simba wanajua ni yule wa Lion King.🤣
Huna lolote unaropoka tu.
Nimekwambia hivii lete impact ya Kipchoge kuwa maarufu??

Maelezo yanajitosheleza usitake kuhama hama na kuhamisha mada.
Hersi Said ndiye aliyeleta chachu ya uwekezaji wa kimpira hapa Tanzania kutoka Ulaya.
Safari zake zimekuwa na impact kwenye mpira wa miguu hapa Tanzania.
Niambie wewe Kipchoge kuwa maarufu kumesaidia nini taifa la Kenya!???

Jibu ni hapana,hakuna msaada wowote Kipchoge ameuleta Kenya kwa kuwa maarufu.
Badala yake huo umaarufu umemsaidia yeye mwenyewe.

Unakaa unaropoka ropoka usenge hapa.
Maneno meeengiiiii point sifuri.
 
Ni fala huyu jamaa.
Yani vitu ambavyo anapiga navyo kelele havina msaada wowote kwa jamii ya Kenya.
Hata Hussain Bolt ni mwanariadha maarufu duniani kuliko Kipchoge.
Na leo hii uliza nchi yake ameleta msaada gani kwao kwa yeye kuwa maarufu!?
Jibu hakuna,ni yeye tu kutambulika katoka nchi gani basi.
Na umaarufu umemsaidia yeye mwenyewe.
Ile Hersi kasaidia mageuzi ya mpira Tanzania na hiyo imeleta athari ya ajira katika mpira kuwa nyingi.
Kiasi matajiri wanawekeza mbaka bilion 200 za kitanzania kwenye mpira.
Huyu anaropoka tu hana lolote.
 
Huna lolote unaropoka tu.
Nimekwambia hivii lete impact ya Kipchoge kuwa maarufu??

Maelezo yanajitosheleza usitake kuhama hama na kuhamisha mada.
Hersi Said ndiye aliyeleta chachu ya uwekezaji wa kimpira hapa Tanzania kutoka Ulaya.
Safari zake zimekuwa na impact kwenye mpira wa miguu hapa Tanzania.
Niambie wewe Kipchoge kuwa maarufu kumesaidia nini taifa la Kenya!???

Jibu ni hapana,hakuna msaada wowote Kipchoge ameuleta Kenya kwa kuwa maarufu.
Badala yake huo umaarufu umemsaidia yeye mwenyewe.

Unakaa unaropoka ropoka usenge hapa.
Maneno meeengiiiii point sifuri.
Ulibadisha mada kutoka kwa legend na umaarufu hadi kwa vitu unavyoona vitamfanya huyo Hersi atamshinda Kipchoge yet hata tukienda kwa hivyo bado atamnyoosha tu.

Kipchoge has marketed Kenya abroud.
Kipchoge Nikes
Kipchoge Ineos Grenadier
Kipchoge Isuzu D-max
Kipchoge Foundation (Environmentalism)

Nakwambia ni aibu kumfananisha huyo Hersi na Kipchoge. Being the president of a football club in Tanzania is nothing bro. Relax. Nenda kwa forum ya nchi nyingine ufananishe Kipchoge na Hersi uone vile utadharauliwa. Kipchoge hata marais wa maclub bingwa ulimwenguni kama Barcelona na Real Madrid hawamfikii atakuwa huyo Hersi mwenye hajulikani hata kwa majirani?
 
Kwa hivo Hersi ndio mwenye club zote za mpira bongo? Kwa hivo bila Hersi hakuna mpira bongo?🤣🤣🤣

Kupiga picha hata wewe ukienda kuangalia mpira PSG unaweza tafuta hao mastaa ukapiga picha nao ila kuwekwa kwa page yao uitwe Legend hamna Mtanzania hata mmoja anaweza hilo. Hata Rais wenu hawezi.

Wacha ujinga. Next utasema Hersi amemshinda Ronaldo?

Una akili ya kitoto sana. Never mention kipchoge the legend na huyo Hersi. The respect alone that that name brings to Africa is bigger than the whole football industry of bongoland. Kipchoge name is bigger than the whole Simba club, leave alone Hersi. Ukitaja kipchoge popote hapa ulimwenguni wanamjua, ukitaja Simba wanajua ni yule wa Lion King.🤣
Kenyan President William Ruto has arrived in Beijing to participate in the third Belt and Road Forum for International Cooperation, scheduled for two days in the Chinese capital.

This forum holds great diplomatic significance for China, as it's the most important event of the year and a notable celebration of the 10th anniversary of the Belt and Road Initiative.

Over 140 countries and 30 international organizations, including leaders, officials, and representatives from various sectors, have confirmed their participation.

The Belt and Road Initiative, initiated by China in 2013, aims to create trade and infrastructure networks connecting Asia, Europe, Africa, and beyond along the historic Silk Road trade routes.

In the past decade, over 150 countries and 30 international organizations have engaged with the BRI framework, marking a significant milestone in global cooperation.

William Ruto intends to ask China for a $1 billion loan and a debt repayment restructuring plan, the country's vice-president said on Friday.

According to Rigathi Gachagua, the head of state, who criticized his predecessor's heavy borrowing from Beijing, will visit China at an unspecified date. He will ask for "more time to slowly repay the debt", as well as a billion dollars to complete road projects delayed by lack of funding.

Kenya, one of East Africa's largest economies, has accumulated more than $68 billion in debt, equivalent to 67% of its gross domestic product.

"We are a responsible government, we can't say we won't pay the debt," Rigathi Gachagua told a local radio station.

China, which William Ruto has not visited since his election in August 2022, is the country's second-largest creditor, after the World Bank.

In Mombasa, East Africa's largest port on the Kenyan coast, it is financing the construction of a new terminal.

Beijing has also lent $5 billion (€4.7 billion) for the realization of the most expensive infrastructure project since the country's independence in 1963: the train line that since 2017 has linked the port city of Mombasa to Naivasha, in the Rift Valley, via the capital Nairobi.

During the election campaign, William Ruto had denounced the loans of his predecessor Uhuru Kenyatta, pledging to find other ways of stimulating development to build the country's necessary infrastructure.

China has rejected criticism that its lavish loans are plunging some countries, particularly in Africa, into debt overload.

During a visit to Kenya in July, Beijing's head of diplomacy, Wang Yi, praised bilateral cooperation and a "win-win" partnership.

Despite a dynamic economy, around a third of Kenya's population lives in poverty.

Economic growth slowed to 4.8% last year, from 7.6% in 2021, hit by the global fallout from Russia's invasion of Ukraine and a devastating regional drought that hit the country's vital agricultural sector.

Inflation remained high, at an annual rate of 6.8% last month.

In July, global ratings' agency Fitch Ratings downgraded Kenya's ability to repay international lenders from "stable to negative", citing tax hikes and social unrest.

Yaan mmeenda kuomba nyongeza ya muda kulipa mikopo na nyongeza pia kukamilisha miradi ambayo haikukamilika.
 
Ulibadisha mada kutoka kwa legend na umaarufu hadi kwa vitu unavyoona vitamfanya huyo Hersi atamshinda Kipchoge yet hata tukienda kwa hivyo bado atamnyoosha tu.

Kipchoge has marketed Kenya abroud.
Kipchoge Nikes
Kipchoge Ineos Grenadier
Kipchoge Isuzu D-max
Kipchoge Foundation (Environmentalism)

Nakwambia ni aibu kumfananisha huyo Hersi na Kipchoge. Being the president of a football club in Tanzania is nothing bro. Relax. Nenda kwa forum ya nchi nyingine ufananishe Kipchoge na Hersi uone vile utadharauliwa. Kipchoge hata marais wa maclub bingwa ulimwenguni kama Barcelona na Real Madrid hawamfikii atakuwa huyo Hersi mwenye hajulikani hata kwa majirani?
Kenyan President William Ruto has arrived in Beijing to participate in the third Belt and Road Forum for International Cooperation, scheduled for two days in the Chinese capital.
This forum holds great diplomatic significance for China, as it's the most important event of the year and a notable celebration of the 10th anniversary of the Belt and Road Initiative.
Over 140 countries and 30 international organizations, including leaders, officials, and representatives from various sectors, have confirmed their participation.

The Belt and Road Initiative, initiated by China in 2013, aims to create trade and infrastructure networks connecting Asia, Europe, Africa, and beyond along the historic Silk Road trade routes.
In the past decade, over 150 countries and 30 international organizations have engaged with the BRI framework, marking a significant milestone in global cooperation.
William Ruto intends to ask China for a $1 billion loan and a debt repayment restructuring plan, the country's vice-president said on Friday.
According to Rigathi Gachagua, the head of state, who criticized his predecessor's heavy borrowing from Beijing, will visit China at an unspecified date. He will ask for "more time to slowly repay the debt", as well as a billion dollars to complete road projects delayed by lack of funding.
Kenya, one of East Africa's largest economies, has accumulated more than $68 billion in debt, equivalent to 67% of its gross domestic product.
"We are a responsible government, we can't say we won't pay the debt," Rigathi Gachagua told a local radio station.
China, which William Ruto has not visited since his election in August 2022, is the country's second-largest creditor, after the World Bank.
In Mombasa, East Africa's largest port on the Kenyan coast, it is financing the construction of a new terminal.
Beijing has also lent $5 billion (€4.7 billion) for the realization of the most expensive infrastructure project since the country's independence in 1963: the train line that since 2017 has linked the port city of Mombasa to Naivasha, in the Rift Valley, via the capital Nairobi.
During the election campaign, William Ruto had denounced the loans of his predecessor Uhuru Kenyatta, pledging to find other ways of stimulating development to build the country's necessary infrastructure.
China has rejected criticism that its lavish loans are plunging some countries, particularly in Africa, into debt overload.
During a visit to Kenya in July, Beijing's head of diplomacy, Wang Yi, praised bilateral cooperation and a "win-win" partnership.
Despite a dynamic economy, around a third of Kenya's population lives in poverty.
Economic growth slowed to 4.8% last year, from 7.6% in 2021, hit by the global fallout from Russia's invasion of Ukraine and a devastating regional drought that hit the country's vital agricultural sector.
Inflation remained high, at an annual rate of 6.8% last month.
In July, global ratings' agency Fitch Ratings downgraded Kenya's ability to repay international lenders from "stable to negative", citing tax hikes and social unrest.
Share
 
Ulibadisha mada kutoka kwa legend na umaarufu hadi kwa vitu unavyoona vitamfanya huyo Hersi atamshinda Kipchoge yet hata tukienda kwa hivyo bado atamnyoosha tu.
Usinilishe maneno ambayo sijasema
Kipchoge has marketed Kenya abroud.
Kipchoge Nikes
Kipchoge Ineos Grenadier
Kipchoge Isuzu D-max
Kipchoge Foundation (Environmentalism)
Hizi ulizotaja ndio massive impact kwa jamii??
😂😂😂😂😂😂😂We jamaa ni fala unajielewa Kweli!??
Aya ni ajira ngapi endelevu zimetengenezwa hapo?
Na pato kiasi gani la taifa limetengenezwa hapo?
Au kodi kiasi gani serikali inakusanya hapo!?
Nakwambia ni aibu kumfananisha huyo Hersi na Kipchoge. Being the president of a football club in Tanzania is nothing bro. Relax. Nenda kwa forum ya nchi nyingine ufananishe Kipchoge na Hersi uone vile utadharauliwa. Kipchoge hata marais wa maclub bingwa ulimwenguni kama Barcelona na Real Madrid hawamfikii atakuwa huyo Hersi mwenye hajulikani hata kwa majirani?
Acha usenge wewe!
Yani umfananishe Kipchoge na MANSOUR THAMIM ALTHANI anayemiliki timu ya MANCHESTER CITY!?
Au umfananishe Kipchoge na rais wa timu ya Real madrid!??
Weeh weeeh weeeh acha ufala nakusisitiza acha ufala.
Utachapwa makofi kijana acha ufala.
Unajua net worth za hao jamaa!?
Unajua wana contribute kiasi gani kwenye mapato ya mataifa hayo yenye hizo club!??
Dude are you mad!??

Yes namfananisha Hersi na Kipchoge kwasababu Hersi ameweza kuleta chachu ya uwekezaji mpira Tanzania na ajira zimekuja kwa wingi.
Ila Kipchoge has done nothing with massive impact kwa Kenya.
 
Broo.........una akili wewe? 🤣 🤣
There is no single country in the world yenye haina Wachina so what do you think makes you special? hapo Bongo Wachina wanaokuja ni 44k, hapa Kenya ni 52k, alafu unaamini Tanzania ndio inajulikana China? Hivi unajua billioni 1.4 ukubwa wake?

Hilo sii la kujadili, ni kitu kilicho wazi.

Narudia, kuna Wakenya wengi China wanaofunza Kiswahili na Kiingereza. haimaanishi Kenya inajulikana kwa Mchina wa kawaida. Msijipe sifa za bure.

Ni 44,000. Meanwhile wanaokuja Keny ni 52,000.

mad, sio mud. Jifunze kiingereza.
Ni kama uko chini sana kwa somo la hisabati. Mnapata Wachina 44k kila mwaka. Kenya inapata 52k. Hizo ni figure ambazo haziwezi wafanya muwe popular kwa nchi iliyo na watu 1.4B.

Kawaida ukishashikwa makende huwa unaanza kutwist mambo uliyosema, hukielewi. Huwezi sema Murkomen ukimaanisha Ruto. Wacha ujinga.

Hakuna ushirikiano bro, huo ni msaada. Hakuna kitu cha maana ambacho Tanzania inaweza fanyia China. Hivi Panya atamsaidiaje ndovu?

Ni 44,000. Number ndogo saaana.
Mie huwa kubishana USENGE siwezagi.
Screenshot_2024-09-04-11-57-58-07_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-04-11-58-50-20_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-04-11-59-11-63_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Usinilishe maneno ambayo sijasema
Umeyasema tena unayakana.
Hizi ulizotaja ndio massive impact kwa jamii??
😂😂😂😂😂😂😂We jamaa ni fala unajielewa Kweli!??
Aya ni ajira ngapi endelevu zimetengenezwa hapo?
Na pato kiasi gani la taifa limetengenezwa hapo?
Au kodi kiasi gani serikali inakusanya hapo!?
Kwa hivo kuna kipi huyo Hersi amefanya kinachoshinda hivyo ambavyo nimelist?
Kwa hiyo foundation hamna ajira?
Kwa hiyo assembly ya D-Max hamna ajira?
Kwa hiyo Nike hamna ajira?
Kwa tourism hamna ajira?
Kwa watoto wanaolipiwa karo hamna impact kwa jamii?
Yani Rais wa club moja hapo bongo unasema ana impact kuliko hayo?
Btw, huu mjadala wa Kipchoge na Hersi naumaliza sahii. Naona ni kumkosea Kipchoge heshima. Heri tungekuwa tunaongelea Florentino Perez wa Real lakini sio huyo Hersi ambaye hata jina lake nimelijua leo. Tuendelee na mijadala mingine. Siwezi mkosea Kipchoge heshima hivi.

Acha usenge wewe!
Yani umfananishe Kipchoge na MANSOUR THAMIM ALTHANI anayemiliki timu ya MANCHESTER CITY!?

Nimemlinganisha na anayeendesha Man City, sio anayeimiliki.
Au umfananishe Kipchoge na rais wa timu ya Real madrid!??
Weeh weeeh weeeh acha ufala nakusisitiza acha ufala.
Utachapwa makofi kijana acha ufala.
Unajua net worth za hao jamaa!?
Unajua wana contribute kiasi gani kwenye mapato ya mataifa hayo yenye hizo club!??
Dude are you mad!??

Yes namfananisha Hersi na Kipchoge kwasababu Hersi ameweza kuleta chachu ya uwekezaji mpira Tanzania na ajira zimekuja kwa wingi.
Ila Kipchoge has done nothing with massive impact kwa Kenya.
Huo ndio ukweli. Akina Florentino Perez ndio ligi ya Kipchoge. Sio huyo Hersi. Huyo Hersi alinganishwe na Rais wa Gor Mahia, sio Kipchoge.
 
The average Chinese haijui Tanzania, hilo sio la kubishana. In fact I'm 100% sure Kenya inajulikana China kuliko Tanzania. Naongea kama mtu aliyefika China.

Kuwa na Watanzania wanaofanya kazi China hakumaanishi the average Chinese anaijua Tanzania. Wacha kufikiria kwa haga. Hicho chuo nina uhakika kina wakenya pia ila hutoskia tukijichocha eti Kenya inajulikana China.

Broo, Tanzanian tourists wote kwa pamoja hata hawafiki millioni mbili, China ina watu billion 1.4. Hata kama hao millioni mbili wote wangekuwa Wachina (ambapo sio hivo) bado hiyo namba ingekuwa a drop in the ocean not capable of making Tanzania popular in China. Tukiwaambia elimu yenu ni uchwara hamsikii, sasa hii yako ni logic gani?

The fact that unalinganisha Mkenya wa kawaida na Rais wenu inaonyesha jinsi mnavyojidharau.

Mkipewa misaada haimaanishi mnaheshimika, inamaanisha mnahurumiwa.

🚮 🚮 🚮 siku moja utaerevuka. Nakuombea hilo.
Nakwambia leo hii Rais wa Tanzania yupo China ila ukimuuliza Mchina random leo leo Rais wa Tanzania ni nani atakuuliza Tanzania ndio nini. That's how irrelevant you are to China. Usijidanganye.
Mkundustani akiwaka kwa wivu! Ombea Ruto asirudi mikono mitupu!
 
Back
Top Bottom