Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yako huwa una ujuaji mwingi usio na faida.
Hapa tunazungumzia bara la Afrika sio dunia nzima.
Hakuna asiyejua kuwa Afrika nzima haimpatii China anachopata mataifa ya Ulaya na America.
Ila hiyo haimaanishi kuwa China hana marafiki sehemu zingine.

Ndio maana nikakwambia Tanzania ni rafiki muhimu wa China kwa bara la Afrika.Elewa kwa bara la Afrika.
Na wa kujua na kuamua kama Tanzania ina faida kwa China ama laah ni diplomats wa China.

Yale yale ujuaji mwingi mbele kiza.
Hivi unajua hata diplomasia inafanyaje kazi!???
Anataka kukutoa kwenye mada huyo. Anatakiwa atueleze Uhusiano wa China na Kenya. We are talking about FOCAC. Asianzishe mada nyingine
 
Haval Kenya launches three new models in Kenya. Kosugi Bongoslum kuna Haval dealership au wachina hawawatambui?🤣🤣🤣

Image

Image

Image
 
Ruto anatakiwa afukuze watu wote hapo kwenye ikulu yake atafute watu wenye professions wanaojua media and International protocols. They are creating bad image. Labda ni yeye anafanya hivyo.
Kwamba president anafanya yeye mwenyewe? Sio kweli bhana 😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Bro, unajiongelea ama unatuongelea? Hivi ni nani anayejisifia kwa Rais wao kupeana mkono kwa mtu mweupe? Huoni Wakenya tunamkashifu Ruto wakati mnamsifia Samia? Unakua mjinga hadi ukionyeshwa maji unasema ni moto. 🤣 🤣 🤣
Sasa ilipaswa uchukie na miradi ya mchina, onesha kwa vitendo pasipo biasness kaka.
 
Shida yako huwa una ujuaji mwingi usio na faida.
Hapa tunazungumzia bara la Afrika sio dunia nzima.
Hakuna asiyejua kuwa Afrika nzima haimpatii China anachopata mataifa ya Ulaya na America.
Ila hiyo haimaanishi kuwa China hana marafiki sehemu zingine.

Ndio maana nikakwambia Tanzania ni rafiki muhimu wa China kwa bara la Afrika.Elewa kwa bara la Afrika.
Na wa kujua na kuamua kama Tanzania ina faida kwa China ama laah ni diplomats wa China.

Yale yale ujuaji mwingi mbele kiza.
Hivi unajua hata diplomasia inafanyaje kazi!???
Mkiambiwa ukweli mnaita ujuaji.🤣🤣
The truth is, African countries at the moment have very little to offer China. In fact the only reason china bothers with us is our natural resources otherwise we provide a very tiny percentage of it's total trade. Wengine tunajua hilo ila bongolala bado mpo lalaland. Wacha nikupe data ya Africa ujionee mahali mpo. Hamna Cha maana mnachoweza kupea China. Ndio maana nikakwambia, the average Chinese on the street haijui Tanzania. Weka hilo akilini.

South Africa, Angola and Nigeria are the 3 biggest African trading partners with China na bado hata wao hawana significance yoyote kwa China ukilinganisha na nchi zingine za Asia, Europe na America.

Juu umezaliwa nchi fukara ya Africa, mnadhani masuti na makanzu za Ile dini fake ya Saudi Arabia ndio form!!!
Hapana usipotoshe mkuu, kuna vazi rasmi la kiongozi hususan mkubwa kama rais anapaswa kuvaa, wazungu suti waarabu kanzu, hiyo ni desturi na ni kama sheria kwamba rais ili aonekane rasmi lazima avae hivyo especially akienda kwenye matukio ya kitaifa kama tukio la huko China, huo ni utaratibu uliowekwa na walioanzisha hivyo vyeo kama hutaki itakuwa ni ujeuri wako tu. Ukweli ni kwamba Ruto kuvaa vile ameaibisha taifa na kuleta bad image kwa wakenya usipepese macho mkuu.
 
Narudia kukwambia tena,Tanzania lazima tusherehekee kwasababu Tanzania ni mshirika muhimu wa China hapa Afrika.
Toka enzi za Mao Zhedong na Julius Nyerere Tanzania na China wana mikataba mingi ya ushirikiano baina yao.
Usifananishe Kenya na TZ kwa China.
Leo hii ukimwambia Jinping kati ya Murkomen na Samia nani mshirika muhimu lazima amtaje Samia.
Ndio maana unaona hata mapokezi ya Rais Samia yameenda kwa heshima zaidi.
And yet China prefers to invest in Kenya than Tanzania. Wachina wanawabeba ufala 😂😂🤣😂
 
Mkiambiwa ukweli mnaita ujuaji.🤣🤣
The truth is, African countries at the moment have very little to offer China. In fact the only reason china bothers with us is our natural resources otherwise we provide a very tiny percentage of it's total trade. Wengine tunajua hilo ila bongolala bado mpo lalaland. Wacha nikupe data ya Africa ujionee mahali mpo. Hamna Cha maana mnachoweza kupea China. Ndio maana nikakwambia, the average Chinese on the street haijui Tanzania. Weka hilo akilini.

South Africa, Angola and Nigeria are the 3 biggest African trading partners with China na bado hata wao hawana significance yoyote kwa China ukilinganisha na nchi zingine za Asia, Europe na America.

Unahama mada hatuzungumzii unachozungumzia still unahama mada.
Hapa tunazungumzia ushirikiano wa China na Afrika.
Unaandika maneno meengiii point sifuri.
Narudia kusema hakuna mtu asiyejua kama China ina washirika wanaomnufaisha kwa ukubwa kuliko Afrika,ila hio haizuii kusema kuwa China haina marafiki Afrika.

I doubt your level of education kijana.
Huna hoja maana unazunguka mbuyu.
Kama unataka mjadala uendelee turudi pale pale panapozungumzia ushirikiano wa China kwa Kenya na Tanzania.
 
Mkuu hapa naomba nitofautiane na wewe kidogo, unaposema wabongo wanashangilia unamaanisha kwamba nyie hampendi mikopo? Au hampendi uhusiano na nchi tajiri kama China? Si ni nyie mnaifurahia Talanta humu? Si ni nyie mnaifurahia GTC humu? Si ni nyie mnaifurahia express way humu? Si ni nyie mnaifurahia SGR humu? Hiyo miradi yote iko funded na nani? Naomba jibu alafu baada ya hapo tambua kwamba hizi nchi zetu bado maskini hazina uwezo wa kiivyo wa kufanya miradi mikubwa namna hiyo pasipo mikopo.
Kwanza wacha nikukosoe kidogo.
Talanta haijengwi na Mchina.
GTC ni private investment. Private investment inahusikanaje na mkopo wa serikali?
Expressway ni PPP project ambayo hata wewe unaweza nunua bonds na ukapata faida alafu ni mradi uliotekelezwa vizuri.

Main point.
Ninamaanisha munashangilia ujinga kisa, Africa inapoteza pesa nyingi kwa corruption and wastage alafu marais wanaenda wanakopa nje tena wanakuja wanaharibu hizo pesa. Cha kushangaza mnashangilia kisa Rais wenu amesalimiana na Rais wa China wakati Mchina wa kawaida haoni cha maana hapo. Ndio maana tunabebwa ufala na nchi zingine maanake tunapeana vibes za kuwaabudu vile. Ukitazama nchi za Africa nyingi zina pesa na mali ya kujitosheleza ila kila siku tunakopa na kuharibu hizo pesa. Imagine babako aende akope anywe pombe nyinyi wote mlipe tena aende kukopa alafu mshangilie kisa amepewa loan?
 
Back
Top Bottom