NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Mchina hawezi kuwapa pesa za kujenga SGR ambayo itamletea yeye mwenyewe competition, mchina kashafunga ukurasa kuhusu SGR ya Kenya
View attachment 3086513
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/1831212910561128731?t=f8rA5NvyLj84XKtFpfEKTw&s=19
Yani kifkra tuna tofauti kubwa sana. Wakati Wakenya wanaghadhabishwa na huu ujinga wa Rais wetu kuitwa China na Rais wa China, Bongolala zinasherehekea eti Rais wao kapiga picha na Rais wa China. Ukienda kwa comments, Wakenya wanauliza maswali, bongolala zinasherehekea. Akili zenu za kitoto sana. Yani kama enzi za Moi vile, ukikutatana na Rais unapiga picha unaibandika sebuleni kwako. 🤣 🤣 🤣