Pesa pekee watakayopewa ni hii ya kufufua miradi ya barabara zao zilizokwama toka uhuru atoke madarakani na kuomba nyongeza ya muda wa kulipa madeni ya SGR na infrastructures nyingine
View: https://x.com/PulseLiveKenya/status/1710190976466071832?t=-uQ-d7krwbRfns80yCnvEg&s=19
Hawa jamaa hadi barabara wanakopa aisee!??
😂😂😂😂😂😂Jinga kabbissa hawa.