Nimesema urafiki wa Tanzania na China ni kama wa ndovu na panya. Tanzania haina manufaa yoyote kwa China ila China ina huruma kwa Tanzania. Na nikasema the average Chinese on the streets haijui Tanzania.
'Urafiki' wa Tanzania na China hauna tofauti na 'urafiki' wa Kenya na China, Uganda na China, Zambia na China, Rwanda na China etc. Mnajipatia umaarufu msio nao kwa kujiona mko na something special na China wakati hata Kenya inajulikana China kushinda Vumbistan. Kenya inapata watalii wengi kutoka China kuliko Vumbistan.