GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 723
- 1,883
View: https://youtu.be/oyGysDpaPu8?si=JVj_y6vIw12LoKl-
Kwa Sasa tunadeal na mishipa mikubwa ya damu. Msuli mnene 💪🏾
Wengi wametuelewa na sasa unaona namna Kiswahili kinakua kwa kasi, kila mtu anakitaka, alafu zinakuja hizi nyang’au na minyororo yao ya kitumwa, English haijui, Kiswahili haijui…..ipo tu katikati kama sehemu za siri, ndio maana bado yanapigana tribal wars, shame kabisa!!Mataifa mengi ya kiafrica linapokuja suala la lugha bado wanasujudu lugha ya mkoloni. Tanzania tuliliona na kutatua hili tatizo mapema mara baada ya uhuru.
Hata sijui labda inamngoja Bi Kizimkazi afanye tour pande zile! Kuna suala la maboresho ya bandari pia kui-accomodate!Mv Mwanza inaanza kazi lini?
Napenda jinsi watanzania wanavyovaa smart wakitumia SGR.
Malawi wanazungumza kingereza kizuri lakini wasichana wao wengi wanafanya kazi za ndani hapa bongo "house geli".Mataifa mengi ya kiafrica linapokuja suala la lugha bado wanasujudu lugha ya mkoloni. Tanzania tuliliona na kutatua hili tatizo mapema mara baada ya uhuru.
Mkuu abiria wa SGR wengi ni wale zamani walikuwa wanaendesha gari zao au wapanda ndege. Kuna mbwembwe utafikiri unapanda Emirates kwenda Dubai.Napenda jinsi watanzania wanavyovaa smart wakitumia SGR.
World class infrastracture zinasababisha hata watu wavae kiworld class
Kama Hall ya Terminal 3View attachment 3077080
Moro station
Mnadanganywa kama kawaida, kama mlivyodanganywa na BasiGo. Your potato prices are just not competitive....KFC understood the assignment, 100% locally sourced potatoes, made in kenyaView attachment 3077153
Cheki vile vijengo kule nyuma, nipige kwa juu👇👇👇🤣🤣🤣🤣
Lifetime dose
View attachment 3076948
Si nilisema mm, jamaa picha zake mbili tu maskini ya Mungu, express way akitoka hapo GTC 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣