President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Hii migali yenu ipo hovyo sana, hakuna abiria utapata ukiileta Tanzania.
Msenge masaa 24 yupo jamiiforums kudaadeki, huyu kima nina asilimia 200% hana kazi wala biashara, mganga njaa tu. Hata ukimsikiliza maneno yake yana ufukara mkubwa ndani yake.Haya mambo Tanzania tulishatoka since 2014. Tanzania hasi more than 500 Bus companies.
Pitia hapa ujifunze
Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.www.instagram.com
Dodoma kwa sasa inachapa miji yote EA, Nairobi, Kigali, Kampala mpaka Dar.Huwezi amini kama hii ni dodoma 👇🏾View attachment 3077234
Ni noma mkuuDodoma kwa sasa inachapa miji yote EA, Nairobi, Kigali, Kampala mpaka Dar.
Ipeni muda Dodoma msiijaze tembo maji bure wagema ninyi.Dodoma kwa sasa inachapa miji yote EA, Nairobi, Kigali, Kampala mpaka Dar.
Tuliaa.Ipeni muda Dodoma msiijaze tembo maji bure wagema ninyi.
Dodoma ina develop lakini bado inahitaji muda.
Modern apartments in Dodoma, sio kama vile vi apartments nzee vilivyojengwa na wazungu enzi za Kenyatta senior. Hapa inajengwa estate kubwa ambayo haijawahi kutokea East and central Africa, ikifika 2025 gape la Tz estate Vs Ke estate litafika $100b kutoka gape kubwa la sasa.Ni noma mkuu