Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Screenshots_2024-08-22-20-40-56.png
 
Haya shida yako nini haitabadilisha chochote kile inatakiwa wahamie msomera wapende wasipende
Ishu ni kwamba wamasai wa Kenya hawataki wenzao wa hame, wanaogopa mifugo yao watalisha wapi??

Ndo wanatumia pesa nyingi sana kifanya ujinga.

Kuandamana kutaka hali yako na kwenda na mabango ya shida zenu kwa watalii ni wapi na wapi?? Nia yao ni kuhujumu nchi. Na ngoja, tutawanyoosha tu.

Wanalalamika hawana shule, hawana huduma za kijamii, umeme wala maji. Hivi kuna mtanzania ambae hajui kwa nini hivi vitu havipo kule.

Na kiongozi wao ni yule senator WA kajiado ama narok, anajifanya kimbele mbele sana. Siku zake zinahesabika.

Msomera wamepewa ardhi ya ufugaji, umeme, shule, hospitali, barabara na maeneo ya kulima kama wakitaka, vyote hivyo bure lakini watu bado wanang'ang'ania kuishi na Simba tu!
 
Back
Top Bottom