ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,431
- 85,268
English and swahili are both official languages in Tanzania 😁Graduate kutoka kwa English curriculum Kama hajui kiingereza sio graduate.
So he's not an ordinary Kenyan because I don't know his education level? What's an ordinary Kenyan to you? Huna akili ndio maana una-advertise Twitter yako humu daily na bado haipati wafuasi.Nyie mnafeli sana na yote hii ni kwa sababu ya kutaka sifa kupita kiasi na kwa kila jambo.
Mnadai idadi kubwa ya Wakenya wamesoma sana na idadi kubwa ya Wakenya wameattend university na wako mtaani bila kazi but at the same time, hao waliokuwa street kama huyu mnamuita ordinary ili tu mpate sifa za kijinga.
Do you know huyu jamaa in person na elimu yake?
Watu wa kubebwa ujinga..
View: https://youtu.be/B3uMNEXPBJQ?si=yu1INAOuxMqqbulz
NairobiWalker nairobae Teargas n mwathadan
Nyinyi Ile yenu ya kukwama mara Tano Kwa mwezi ina ufanisi Gani?Wekeni ufanisi wa mwendo katika treni zenu.
Treni gani bro ilikwama mara tano!?Nyinyi Ile yenu ya kukwama mara Tano Kwa mwezi ina ufanisi Gani?
Ukiangalia picha kwa kutumia akili. Unaona tatizo.
Hakuna mwenye amelazimishwa kukaa kwenye foleni. The rule is simple pay and use the expressway. For me I like that model, instead of transferring the cost of expressway to fuel levy so that even mtu wa Garissa alipie barabara that he/she is not using, the model allows only those that use the road to pay for it. If you don’t want to pay for it then don’t use it.Sasa barabara zote za nini kama bado kuna foleni hapo chini?...
Just why kenya is just a country sio Nation. Kuna tofauti kubwa kati ya nchi na Taifa.Hakuna mwenye amelazimishwa kukaa kwenye foleni. The rule is simple pay and use the expressway. For me I like that model, instead of transferring the cost of expressway to fuel levy so that even mtu wa Garissa alipie barabara that he/she is not using, the model allows only those that use the road to pay for it. If you don’t want to pay for it then don’t use it.
Wanajifunza kiingereza kwa kutumia Kikikuyu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Sijawahi kuona mzungu (A native english speaker) akimbeza mtu asiyejua kingereza.
Hii inatokea tu kwa washamba, waliosoma kwa shida tena wakitokea slum ambao hata hicho kingereza chenyewe hawakijui vizuri😂😂