Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijawahi kuona mzungu (A native english speaker) akimbeza mtu asiyejua kingereza.

Hii inatokea tu kwa washamba, waliosoma kwa shida tena wakitokea slum ambao hata hicho kingereza chenyewe hawakijui vizuri😂😂
Kawaida watu wenye lugha yao hawawezi kumbeza mtu asiyejua kuzungumza lugha yao vizuri, tena ufurahi wakimuona anajaribu na huwa tayari kumfundisha kwa upendo, kubeza mtu asiyejua lugha fulani ambayo yeye anaiona superior kuliko nyingine na ofcoz huwa sio yake hutokea kwa washamba na malimbukeni ambao hawana lugha yao rasmi ya kuwasiliana (lingua franca) kama Wakenya na Kiingereza au West Afrikans na Kifaransa.

Niliwahi kuwa Kigali siku moja nikakutana na Mcameroon mmoja, eti alishangaa kwanini sijui Kifaransa (actually I just don’t know French, I hate it) nikamuuliza we unajua Kiswahili? Akacheka kwa dharau, eti Swahili? Where will Swahili takes you my friend? Nikamuuliza what will French helping me in East Afrika? Don’t you see even Rwanda is ditching it? Nikamwambia, wake up brother your in East Afrika, keep your French ego shit to yourself……….nobody gives a shit here, I would rather learn Chinese.
 

IMG_0873.jpeg
Nyumba za NHC zote zinakula nyundo in kariakoo.. hii picha nilipiga juzi.
 
Ukiangalia picha kwa kutumia akili. Unaona tatizo.
Sasa barabara zote za nini kama bado kuna foleni hapo chini?...

Mnafanya miradi ambayo haiwanufaishi wananchi wote... hao wachina waliowajengea expressway wangewajengea subways, City Railway, trams au BRT ningewaona wa maana..
yani haya machungu yote sababu kenya imejenga elevated expressway ya 27km?
 
Back
Top Bottom