Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kawaida watu wenye lugha yao hawawezi kumbeza mtu asiyejua kuzungumza lugha yao vizuri, tena ufurahi wakimuona anajaribu na huwa tayari kumfundisha kwa upendo, kubeza mtu asiyejua lugha fulani ambayo yeye anaiona superior kuliko nyingine na ofcoz huwa sio yake hutokea kwa washamba na malimbukeni ambao hawana lugha yao rasmi ya kuwasiliana (lingua franca) kama Wakenya na Kiingereza au West Afrikans na Kifaransa.

Niliwahi kuwa Kigali siku moja nikakutana na Mcameroon mmoja, eti alishangaa kwanini sijui Kifaransa (actually I just don’t know French, I hate it) nikamuuliza we unajua Kiswahili? Akacheka kwa dharau, eti Swahili? Where will Swahili takes you my friend? Nikamuuliza what will French helping me in East Afrika? Don’t you see even Rwanda is ditching it? Nikamwambia, wake up brother your in East Afrika, keep your French ego shit to yourself……….nobody gives a shit here, I would rather learn Chinese.
Mataifa mengi ya kiafrica linapokuja suala la lugha bado wanasujudu lugha ya mkoloni. Tanzania tuliliona na kutatua hili tatizo mapema mara baada ya uhuru.
 
Hili Mabati factory kuna siku limejaa kweli ?? Support jibu lako na evidence 😎

View: https://x.com/LinusKaikai/status/1826519710843687003?t=eltQo4STMntkDvIdz5Mzng&s=19

Ijae kwani chupa hiyo? Mmezoea kubanana hapo JKIA ili muibiane? We got options in here my friend, you have 3 busy international airports to enter and exit, and we are working on other two. Our infrastructure development strategy is futuristic, mambo ya kubanana kwenye ka-Airport kamoja tumewaachia nyie.
 
So he's not an ordinary Kenyan because I don't know his education level? What's an ordinary Kenyan to you? Huna akili ndio maana una-advertise Twitter yako humu daily na bado haipati wafuasi.
Wewe ndio huna akili hujui nini kinaendelea kwenye mitandao ya jamii twitter kwa kwa Watanzania.

Walio wengi kwenye mitandao ya twitter ni wafuasi wa Chadema, Simba and Yanga funs. Sasa kama unataka wafuasi ni lazima uwe na account inayopost mambo ya kuiponda CCM ama ushabiki wa Simba na Yanga.

Hii hapa chini ni account ya Msouth Africa anayejipatia hela za Elon kwa kujipatia engagements toka kwa Watanzania wa hayo makundi tajwa hapo juu na sio yeye tu bali ni Wasouth, Waghana wengi wanafanya hivyo kujipatia wafuasi na replies. Sina haja na wafuasi kwakua najua jinsi gani ya kuwapata.

View: https://x.com/sabelostorm/status/1818156078959366519

Angalia post zake akipost ligi ya kwao South Africa na akipost ligi ya Tanzania

View: https://x.com/sabelostorm/status/1826257718463922660

View: https://x.com/sabelostorm/status/1826220137424495101

Akipost ligi ya kwao

View: https://x.com/sabelostorm/status/1825932145526755649
 
Tanzania hakuna roho mbaya na ubinafsi kama nyinyi.
Ukiwa na capital unawekeza.

Mbona Bank za Tanzania zipo Burundi, Congo, Nk

Kwanza hakuna hela huko.
Benk zinawekwa sehemu zenye hela
Burundi pia inatajwa penye countries are being mentioned? GDP ya Burundi inafika hata $1B kweli?
 
Ijae kwani chupa hiyo? Mmezoea kubanana hapo JKIA ili muibiane? We got options in here my friend, you have 3 busy international airports to enter and exit, and we are working on other two. Our infrastructure development strategy is futuristic, mambo ya kubanana kwenye ka-Airport kamoja tumewaachia nyie.
Remember JKIA handles double the passengers all Tanzanian airports does in a year.
 
Another three marcopolo buses on ferry going to Tanzania.

1724346732856.jpeg

1724346765731.jpeg
 
Ijae kwani chupa hiyo? Mmezoea kubanana hapo JKIA ili muibiane? We got options in here my friend, you have 3 busy international airports to enter and exit, and we are working on other two. Our infrastructure development strategy is futuristic, mambo ya kubanana kwenye ka-Airport kamoja tumewaachia nyie.
Asante kwa Ku describe white elephant vizuri. Hiyo space na pesa mngeweka hata kiwanda cha garments kuliko kuwa idle mwaka mzima.
 
Back
Top Bottom