The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Huo mji ni trash, inabidi upigwe bomu muanze upya.Shit, tunachota pesa zote vumbistan hakuna kubakisha.
Huo mji ni trash, inabidi upigwe bomu muanze upya.Shit, tunachota pesa zote vumbistan hakuna kubakisha.
😍😍😍😍😘Cheki vile vijengo kule nyuma, nipige kwa juu👇👇👇🤣🤣🤣🤣 View attachment 3077160
Yeah.Lifetime dose ya kupigwa na jua na mvua bila shade?
Mabasi ya China yawe fake ila reli ya China na locomotives za China ziwe world class 1 standard!??Kumbe nyinyi pia mnajua kwamba mabasi za China ni fake lakini kukubali hapa JF ndio hamtaki😂😂🤣.
Alafu hizo Irizer naona bado bado zimepigwa pin kule Tanduma border😂🤣
Mradi uliowakosesha usingizi jirani.Lifetime dose
View attachment 3076948
Nunua bundles bwana uache kuabisha watanzania wenzako😂😂Mwendokasi
View attachment 3077081
Mabasi za China coming to Tanzania are fake.Mabasi ya China yawe fake ila reli ya China na locomotives za China ziwe world class 1 standard!??
Aki Mkenya aliyemroga amekufa.
Pole kwa maumivu.Mabasi za China coming to Tanzania are fake.
Bonanza
Haya mambo Tanzania tulishatoka since 2014. Tanzania hasi more than 500 Bus companies.
www.instagram.com