Sauli kwa sasa bus ana.Hii tuliiongelea jana. Na ukaja na Accounts zako zingine tukakupiga za uso.
Acha upumbavu

Uyo nae mjinga. Kuweka guard za mbele kwenye gari eti kisa unazuiya ajali usababisha impact ndani ya gari kuwa kubwa zaidi. Iyo bus ilifanyiwa test ya ajali bila izo guards ikawa imeizinishwa... Izo chuma zitasababisha impact kuwa kubwa na watu kuchomoka kwenye vioo.Kumbe nyinyi pia mnajua kwamba mabasi za China ni fake lakini kukubali hapa JF ndio hamtaki😂😂🤣.
Alafu hizo Irizer naona bado bado zimepigwa pin kule Tanduma border😂🤣
Sio mifugo tuu huwa wanawapa hata chakulaIshu ni kwamba wamasai wa Kenya hawataki wenzao wa hame, wanaogopa mifugo yao watalisha wapi??
Ndo wanatumia pesa nyingi sana kifanya ujinga.
Kuandamana kutaka hali yako na kwenda na mabango ya shida zenu kwa watalii ni wapi na wapi?? Nia yao ni kuhujumu nchi. Na ngoja, tutawanyoosha tu.
Wanalalamika hawana shule, hawana huduma za kijamii, umeme wala maji. Hivi kuna mtanzania ambae hajui kwa nini hivi vitu havipo kule.
Na kiongozi wao ni yule senator WA kajiado ama narok, anajifanya kimbele mbele sana. Siku zake zinahesabika.
Msomera wamepewa ardhi ya ufugaji, umeme, shule, hospitali, barabara na maeneo ya kulima kama wakitaka, vyote hivyo bure lakini watu bado wanang'ang'ania kuishi na Simba tu!
Itakuwaje na bimkubwa ameshavuta mpunga wa waarabu?
View: https://twitter.com/millardayo/status/1826669698882080928?t=gErB1UWEMBxTqGrs7P58LA&s=19
Ishu ni kwamba wamasai wa Kenya hawataki wenzao wa hame, wanaogopa mifugo yao watalisha wapi??
Ndo wanatumia pesa nyingi sana kifanya ujinga.
Kuandamana kutaka hali yako na kwenda na mabango ya shida zenu kwa watalii ni wapi na wapi?? Nia yao ni kuhujumu nchi. Na ngoja, tutawanyoosha tu.
Wanalalamika hawana shule, hawana huduma za kijamii, umeme wala maji. Hivi kuna mtanzania ambae hajui kwa nini hivi vitu havipo kule.
Na kiongozi wao ni yule senator WA kajiado ama narok, anajifanya kimbele mbele sana. Siku zake zinahesabika.
Msomera wamepewa ardhi ya ufugaji, umeme, shule, hospitali, barabara na maeneo ya kulima kama wakitaka, vyote hivyo bure lakini watu bado wanang'ang'ania kuishi na Simba tu!
Binadamu waiache ngorongoro,TZ bado tuna misitu mingi tu,hao wamasai mimi nishawahi kuwaona lindi huko ndani ndani karibu na selou wanaishi,na wana jamii yao kubwa huko na mifugo yao,masai wa kundudweller ndio wanaopambana ili mifugo yao isife njaaIshu ni kwamba wamasai wa Kenya hawataki wenzao wa hame, wanaogopa mifugo yao watalisha wapi??
Ndo wanatumia pesa nyingi sana kifanya ujinga.
Kuandamana kutaka hali yako na kwenda na mabango ya shida zenu kwa watalii ni wapi na wapi?? Nia yao ni kuhujumu nchi. Na ngoja, tutawanyoosha tu.
Wanalalamika hawana shule, hawana huduma za kijamii, umeme wala maji. Hivi kuna mtanzania ambae hajui kwa nini hivi vitu havipo kule.
Na kiongozi wao ni yule senator WA kajiado ama narok, anajifanya kimbele mbele sana. Siku zake zinahesabika.
Msomera wamepewa ardhi ya ufugaji, umeme, shule, hospitali, barabara na maeneo ya kulima kama wakitaka, vyote hivyo bure lakini watu bado wanang'ang'ania kuishi na Simba tu!
Huyu ndio sterling wa mchezo,yule maria sarungi baba yake ni mkenya na hata sasa hivi anaishi kenya ndiko anakoandika ule upumbavu wake wa xHuyu bwana shamba wao ndio msumbufu!?
View attachment 3076842
Nikirejea mienendo yako ya awali your performance history kwenye forum ulikua unamchukia sana Magufuli kipindi ni kiongozi baada ya kufariki ukawa ni die hard fan wa Samia na ukawa unamtetea mno wakati wengine wakimponda, lakini saivi nashangaa unamchukia sana tena Samia 😂😂😂 ulikua unajua baada ya kifo cha Magufuli SGR, airtanzania, Dodoma, JNHPP na miradi mingine ingekufa ufurahi? 😂😂😂 Mzee JPM alijenga system serikalini na spirit yaani usitegemee Tanzania ulioizoea kabla ya Magufuli hata kama hawatoenda kwa kasi ya Magufuli lakini kuna sanity foundation iliachwa na JPM, pole 😂😂😂
Hio mbuzi ingine nimetupa kwenye dust binNikirejea mienendo yako ya awali your performance history kwenye forum ulikua unamchukia sana Magufuli kipindi ni kiongozi baada ya kufariki ukawa ni die hard fan wa Samia na ukawa unamtetea mno wakati wengine wakimponda, lakini saivi nashangaa unamchukia sana tena Samia 😂😂😂 ulikua unajua baada ya kifo cha Magufuli SGR, airtanzania, Dodoma, JNHPP na miradi mingine ingekufa ufurahi? 😂😂😂 Mzee JPM alijenga system serikalini na spirit yaani usitegemee Tanzania ulioizoea kabla ya Magufuli hata kama hawatoenda kwa kasi ya Magufuli lakini kuna sanity foundation iliachwa na JPM, pole 😂😂😂
Ni nani huyu?Huyu ndio sterling wa mchezo,yule maria sarungi baba yake ni mkenya na hata sasa hivi anaishi kenya ndiko anakoandika ule upumbavu wake wa x
Mbunge wa narok sijui kajiado huko kenya,hao ndio waliopakana na ngorongoro kupitia mkoa wa mara,upande wao ni kukame sana so uwa wqnavuka border kwenda ngorongoro kulisha mifugo yaoNi nani huyu?
Wanaopinga ni wakenya,watanzania hawana shida ya kuhama kutoka Ngoro Ngoro,wakenya Wana haha wanajua hawatapata sehemu ya kulisha mifugo Yao. Serikali ishikikie hapo hapo!Issue ya ngorongoro muda mwingine tunaichukulia kisiasa sana,kiukweli ile hifadhi inapotea maana binadamu na mifugo vimezidi,wanyama hawawezi kuhamishwa ila binadamu uwezekano wa kuhamishwa upo,na kingine hadi wamasai wa kenya uwa wanavuka kwenda kulisha mifugo yao,serikali iko sahihi na hata makazi wanakohamishiwa ni bora kuliko ngorongoro na ndio maana utosikia wanaopinga jambo wakiongelea huko wanakohamishiwa wakazi wa ngorongoro
Hamna jamii ambayo aishindwi kuishi popote kama jamii ya wamasai wa TZ ndio maana wapo kila mkoa tena kwa wingi mkubwa,ngorongoro inazidiwa na watu na mifugoWanaopinga ni wakenya,watanzania hawana shida ya kuhama kutoka Ngoro Ngoro,wakenya Wana haha wanajua hawatapata sehemu ya kulisha mifugo Yao. Serikali ishikikie hapo hapo!