Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Dah mpeleke pole pole mzee, 😂😂Ndio hii bro camera yenyewe nikiwa nayo kwangu. Una swali lingine? Usikuwe maskini udhani Kila mtu ni maskini😂😂
View attachment 3064043
Dah mpeleke pole pole mzee, 😂😂Ndio hii bro camera yenyewe nikiwa nayo kwangu. Una swali lingine? Usikuwe maskini udhani Kila mtu ni maskini😂😂
View attachment 3064043
I didn't want to engage him on matters mansions. Si unajua uwezo wao wa kuekewa ni ndogo? Nilitaka nimalizane naye on matters apartments kwanza ndio nimpeleke hayo maeneo ulyitaja nimuoneshe mansionsHalafu hawajui likina swali la mansions za kumilikiwa pia zipo nyingi ndani na nje ya Nairobi. Ndani ya Nairobi maeneo kama Karen, Runda, Muthaiga, Utawala n.k ni mansions za kumilikiwa. (Ikumbukwe eneo kama Karen pekee ni kubwa kuliko mitaa yote ya Kifahari Dar combined) Alafu Kuna maeneo nje ya Nairobi kama Kahawa Sukari, Runda ya juu, Kiambu, Syokimau, Ngong, Kiserian, Kitengela, Rongai, Athi River n.k nyumba ziko kibao mansions za kumiliki.
Camera zote za nini Buddah!?Ndio hii bro camera yenyewe nikiwa nayo kwangu. Una swali lingine? Usikuwe maskini udhani Kila mtu ni maskini😂😂
View attachment 3064043
Unabishana na watu ambao ardhi kwao ni shida!?Demands mkuu, nyie kwenu kuna demands ya apartment ila sisi ni tofauti demands ipo kwa nyumba za kumiliki mwenyewe ndio maana makampuni ya Ujenzi na viwanja ni mengi sana.
Private wamehamishia nguvu huko wanakujengea nyumba kabisa unawapa kiwanja unakabidhiwa funguo tu.
Kila camera ina kazi yake. Hiyo Sony ni nzuri kuzoom nikitaka kupiga kitu Cha mbali picha na pia huwa nahire kwa watu wakifanya video za harusi. DJI ni nzuri nikirecord conversation (maanake ina feature ya kufuata uso wa mtu akisonga na mic yake wireless Iko poa) ama niweke kwa kioo Cha gari nirecord safari na pia huwa nahire watu wafanyie vlogging. Ya simu nayo it's the portable one. Hiyo natumia kama Sina hizo zengine.L
Camera zote za nini Buddah!?
Umekua photographer au muandaaji filamu!?
Duh hongera bro.Kila camera ina kazi yake. Hiyo Sony ni nzuri kuzoom nikitaka kupiga kitu Cha mbali picha na pia huwa nahire kwa watu wakifanya video za harusi. DJI ni nzuri nikirecord conversation (maanake ina feature ya kufuata uso wa mtu akisonga na mic yake wireless Iko poa) ama niweke kwa kioo Cha gari nirecord safari na pia huwa nahire watu wafanyie vlogging. Ya simu nayo it's the portable one. Hiyo natumia kama Sina hizo zengine.
Hapa ni Nyumbani kwako.? 😂😂😂 I can clearly see the back ground kupitiahiyo screen hapo.. 😂😂😂😂Ndio hii bro camera yenyewe nikiwa nayo kwangu. Una swali lingine? Usikuwe maskini udhani Kila mtu ni maskini😂😂
View attachment 3064043
I can’t waste my “hasira” on a poverty stricken idiot like you.😂😂😂 una hasira na Mimi balaah 😂😂😂
Hiyo 400k hata wewe hadi ufanye hile kazi yako ya public health for 3 yrs ndio mshahara wako uifikie.Bro laki nne ya Kenya sawa na milioni 8 za kitanzania.
Yani unamtambia mtu kwa milioni 8!?
Be serious bro.
Wewe uko na nyumba? Ama unangoja msichana wa wenyewe arudi akufungulie mlango? That girl can’t even trust you with a spare key😂😂Hapa ni Nyumbani kwako.? 😂😂😂 I can clearly see the back ground kupitiahiyo screen hapo.. 😂😂😂😂
Mambo ya kitoto haya.Ndio hii bro camera yenyewe nikiwa nayo kwangu. Una swali lingine? Usikuwe maskini udhani Kila mtu ni maskini😂😂
View attachment 3064043
Hawa Huwa wanatumia a lot of emotions kwenye hoja zao. Angejua hakuna mtaa wowote huko kwao inatoshananna Karen both in aesthetics na ukubwa Wala hangefungua hiyo mdomo yake kubwaNimeona umelia sana nikujibu. Uzuri wangu mimi hujibu mambo kwa facts. Eneo unaloongelea hili hapa. Area = 38 sq. km
View attachment 3063504
Karen hii hapa, Area 64 sq. km.
View attachment 3063505
Hivi 64 sq.km na 38 sq. km gani kubwa? Na usikwepekwepe kama ilivyo kawaida yenu maanake nimevumilia sana kujibu kima asiye na akili kama wewe. Kawaida yangu huwa sijibizani na vinyangarika ambayvo havijakanyaga nje ya nchi zao.
Basi mimi sijagusia upande wa public health.Hiyo 400k hata wewe hadi ufanye hile kazi yako ya public health for 3 yrs ndio mshahara wako uifikie.
😀 😀Ndio hii bro camera yenyewe nikiwa nayo kwangu. Una swali lingine? Usikuwe maskini udhani Kila mtu ni maskini😂😂
View attachment 3064043
😂😂😂😂 nanunua ngapi hapo hivi vidubwana.? 😂😂👇🏾Ndio hii bro camera yenyewe nikiwa nayo kwangu. Una swali lingine? Usikuwe maskini udhani Kila mtu ni maskini😂😂
View attachment 3064043
Unafurahia 20k? Watu wanapost vitu vya 600k wewe unapost notes za 20k😂😂🤣.😂😂😂😂 nanunua ngapi hapo hivi vidubwana.? 😂😂👇🏾View attachment 3064092
Picha za mwenye mbuzi unaturingia hapa? Kwanza wewe unafanana na broker wa kuuza mbuzi😂😂😂Skia halafu wewe mpumbavu naweza share these kinda pictures like every single day NairobiWalker hizo pesa mimi kwasasa mashaallah 😂😂😂😂. Sidhani kama utawezana sasa. Heb post kwanza unatumia simu gani we mbwa.?