Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani nani hakujui? Unalishwa na msichana wa watu, huna kitanda, unakula kwa vibanda. Na ukikula smocha unapost huku? Wewe nani hakujui? Mapua yako ni kubwa, midomo ni pana na kubwa pia, maskio kubwa. Hivi nani hakujui hapa JF?

To summarize it you are the poorest member here.
🤣🤣
 
Haya mambo yanawafanya wakeya waonekane stupid

1723029239905.png
 
Sasa wewe kinyangarika mmoja uliyebrag na shawarma ya KES 100 leo hii ujifanye Camera ya KES 600K sii kitu kwako? Unaijua 600k wewe? Kwa pesa ya madafu hiyo ni Tshs. 12,500,000. Pesa kama hizo nina uhakika hata kwota yake hujawaishika kwa wakati mmoja.
Heb post picha yako nikuone we mnuka mavi 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom