Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Hizi pesa hazifiki ksh 50,000 ๐๐๐
Hizi pesa hazifiki ksh 50,000 ๐๐๐
50k ni mingi. Hizo pesa ni 20k, and going by how old they are itโs like jamaa amekuwa akizisave since last year๐๐Hizi pesa hazifiki ksh 50,000 ๐๐๐
Elimu ya Kenya huwaaandaa Wakenya kuwa Watumwa wa makampuni ya Wazungu na si vinginevyo. Hawana baraka ya kuandaliwa kifikra za kujitegemea tangu wadogo kwakua kujitegemea kunaitaji resources ambazo haziko hata mikononi mwa serikali yao.Katika wapumbavu wa kikenya wewe ni namba moja ๐๐๐
Wewe unadhani ili mtu apate pesa nyingi lazima awe ameajiriwa.? Au unadhani kila mtanzania humu ndani Chanzo chake cha mapato ni ajira.? Mana naona umepost mshahara wa clinical officer kusapoti point yako kwamba ikiwa clinical officer analipwa hiv then non is paid more.๐๐
Kwenye kujiajir huku letโs say, huku Ndio watanzania wengi tupo huku, na kuna pesa mingi hatari, biashara za mazao ya nafaka, matunda, Nyama ya kuku, ngโombe, mbuzi, mayai . Huku Ndio kuna utajiri wa haraka balaa ukiweka pesa mingi, hiyo 8 million unataja ni pesa kidogo sana ambapo ukijitega vizuri unaipata hii like every week or even everyday
Umekimbia kuwithdraw pesa za demu wako upige picha kisa umeoneshwa Camera za bei. Alafu pesa zenyewe madafu. Hiyo noti ya 10k hapa kenya ni 500. Hizo pesa zote hazifiki 50k za Kenya alafu unalinganisha na bei ya DJI OSMO Pocket 3. Hivi unajua bei ya hiyo Camera. Alafu hizo ni savings zako zote, camera yake ni kitu cha leisure tuu, yani kile kitu ananunua tu kujifurahisha. Leo umesumbuliwa sana, sidhani utalala vizuri leo. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ๐๐๐๐ nanunua ngapi hapo hivi vidubwana.? ๐๐๐๐พView attachment 3064092
Mtafanya huyu jamaa hata aombe watu pesa๐๐๐คฃUmekimbia kuwithdraw pesa za demu wako upige picha kisa umeoneshwa Camera za bei. Alafu pesa zenyewe madafu. Hiyo noti ya 10k hapa kenya ni 500. Hizo pesa zote hazifiki 50k za Kenya alafu unalinganisha na bei ya DJI OSMO Pocket 3. Hivi unajua bei ya hiyo Camera. Alafu hizo ni savings zako zote, camera yake ni kitu cha leisure tuu, yani kile kitu ananunua tu kujifurahisha. Leo umesumbuliwa sana, sidhani utalala vizuri leo. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Mtafanya huyu jamaa hata aombe watu pesa๐๐๐คฃUmekimbia kuwithdraw pesa za demu wako upige picha kisa umeoneshwa Camera za bei. Alafu pesa zenyewe madafu. Hiyo noti ya 10k hapa kenya ni 500. Hizo pesa zote hazifiki 50k za Kenya alafu unalinganisha na bei ya DJI OSMO Pocket 3. Hivi unajua bei ya hiyo Camera. Alafu hizo ni savings zako zote, camera yake ni kitu cha leisure tuu, yani kile kitu ananunua tu kujifurahisha. Leo umesumbuliwa sana, sidhani utalala vizuri leo. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Si huwa mnasema Kenyans in JF are jobless? Tena tukianza kuongelea mambo ya mishahara mnakasirika. Kwani mnataka nini?๐๐๐คฃElimu ya Kenya huwaaandaa Wakenya kuwa Watumwa wa makampuni ya Wazungu na si vinginevyo. Hawana baraka ya kuandaliwa kifikra za kujitegemea tangu wadogo kwakua kujitegemea kunaitaji resources ambazo haziko hata mikononi mwa serikali yao.
Ajira ndio kitu pekee cha kuwawezesha kula na kuvaa.
๐๐๐๐๐
View: https://twitter.com/Kherikombe/status/1821113702294126682?s=19
View: https://twitter.com/MrKifaki/status/1821114837415424065?s=19
View: https://twitter.com/miss_maino/status/1821136925765316662?s=19
View: https://twitter.com/Its_VickP/status/1821116488599925198?s=19
View: https://twitter.com/critic_smart/status/1821116677053988990?s=19
View: https://twitter.com/PROFARMS/status/1821131438315504098?s=19
Do you even have a media house in Tanzania?Time for Tanzanian media houses to acquire media houses in Ukunyani!
Natumia Google Pixel 7 Pro. Wewe unatumia Gani?๐๐Skia halafu wewe mpumbavu naweza share these kinda pictures like every single day NairobiWalker hizo pesa mimi kwasasa mashaallah ๐๐๐๐. Sidhani kama utawezana sasa. Heb post kwanza unatumia simu gani we mbwa.?
Wew ni vlogger?Ndio hii bro camera yenyewe nikiwa nayo kwangu. Una swali lingine? Usikuwe maskini udhani Kila mtu ni maskini๐๐
View attachment 3064043
Akijibu na simu more than 15k unitag๐๐
๐๐๐Akijibu na simu more than 15k unitag๐๐