Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Embu tuoneshe hiyo air bridge ya ku accomodate A380 tucheke kidogo😁
Sio lazima uwe fala. There's nowhere air bridges is needed by an airport in order to accommodate an A380 aeroplane. As long as the runway is 3000m and above, that's enough.

1698954375360.jpg
 
Kwanini TRC wasiongeze idadi ya trains kama abiria ni wengi kiasi hiki?
Hii ni ya kesho na imeshajaa
View attachment 3064253
Labda wanataka watu wengine wapande mabasi...maana wanawahurumia sana hao watu walioshindwa kuwa wabunifu..

Mtu ni kiongozi wa TRC unaanza kuongelea adhari yako kwa mabasi..sio kuhudumia watz wengi kwa wakati...

Hiv ujenzi kuelekea ISAKA unaendelea au ndo umekwama kabisa...maana serikali wote wapo kimya kazi kusifia yaliyokwishafanyika
 
Sio lazima uwe fala. There's nowhere air bridges is needed by an airport in order to accommodate an A380 aeroplane. As long as the runway is 3000m and above, that's enough.

View attachment 3064150
Airlines huwa wanaangalia hizo facilities pia acha ufala.
Mziki wa A380 sio mchezo jinsi JKIA ilivyokuwa congested ka terminal ka juakali A380 ikishusha mzigo mtatafutana kule ndani itakuwa chaos tupu.
 
Back
Top Bottom