Bro laki nne ya Kenya sawa na milioni 8 za kitanzania.Tangu uzaliwe pesa ushaishika maishani mwako inaezafikia Ksh400k zikiunganishwa?
Yani unamtambia mtu kwa milioni 8!?
Be serious bro.
Bro laki nne ya Kenya sawa na milioni 8 za kitanzania.Tangu uzaliwe pesa ushaishika maishani mwako inaezafikia Ksh400k zikiunganishwa?
noisy Tolotolo on the move
View: https://youtu.be/UZ5lK4gVBRE?si=h_XpyykRu7AWRM6k
CC: Teargas, NairobiWalker, mwathadan
Kumbe wanapiga kelele hapa na wanakula mkate za Kenya😂😂🤣🤣
View: https://x.com/Kiganyi_/status/1821085527510041024
Huyo ni maskini wa kutupa kaka, unadhani utaskia nini kutoka kawkę.? 😂😂😂Bro laki nne ya Kenya sawa na milioni 8 za kitanzania.
Yani unamtambia mtu kwa milioni 8!?
Be serious bro.
Tena mtu anadiriki kusema ni mshahara wa mwaka mzima wa Mtanzania AISEE😂😂😂😂😂😂.Huyo ni maskini wa kutupa kaka, unadhani utaskia nini kutoka kawkę.? 😂😂😂
Kwahivyo wewe ulikua unafikiria unatoka Kenya moja kwa moja 😂😂Supa loaf ina kiwanda Dar es Salaam.
Sasa sijui unaropoka nini mzee!?
Huo mkate hautokei directly Kenya huo mkate unatengenezwa Dar es Salaam.
Unavyosema mnatulisha it means ni sawa useme kitu chatoka KE directly.Kwahivyo wewe ulikua unafikiria unatoka Kenya moja kwa moja 😂😂
Kwanza the camera is worth 600k not 400k. 400k ni bila lens. 600k kwa pesa ya madafu ni Tshs. 12.5M.Tena mtu anadiriki kusema ni mshahara wa mwaka mzima wa Mtanzania AISEE😂😂😂😂😂😂.
Hizo 8 millions nikienda kuvuna Cocoa kilo 200 si nazipata mara moja na nusu yake AISEE kwa mpigo mmoja??
😂😂😂😂😂
Nikisema wewe ni mwehu utakataa!?Kwanza the camera is worth 600k not 400k. 400k ni bila lens. 600k kwa pesa ya madafu ni Tshs. 12.5M.
Pili, hiyo cocoa umevuna mara Moja imechukua muda Gani ndio ikakua? Utahesabu aje kitu kilichochukua mwaka mmoja kukua kama pato LA siku moja kisa umekivuna kwa siku moja? Alafu ukipata hiyo 8 million umetoa pesa za wafanyakazi? Mbolea umetoa? Kulima? Transport? Hivi huoni ukipata hiyo 8 million faida yake ni chini ya 2 million tena kwa mwaka? Wangapi wenu humu wanaweza toa Tsh. 12.5 million wakanunua camera kwa mpigo? Usifikirie kama sufuria. Kuna wakati ulisema humu wewe ni clinical officer. Nikiangalia mtandaoni mshahara wa clinical officer hapo bongo average ni 6.5M kwa mwaka, camera nimenunua na 12.5M. Sasa nikisema imeshinda mshahara wako wa mwaka mbona uone nadanganya na ni ukweli? Halafu wewe una nafuu kisa una kazi yet hiyo camera imeshinda mshahara wako mara mbili, yule niliyekuwa naongelea hata kazi Hana. Mwenyewe kakiri humu analishwa na demu yake, Sasa bado unaniona mjinga kwa kusema pato lake LA mwaka haiwezi nunua hiyo camera wakati hata pato lake LA miaka tatu halitoinunua?
View attachment 3063820
Umeongea kwa hasira sana. Naona niligusa penyewe. Pole kwa maumivu.Nikisema wewe ni mwehu utakataa!?
Kwa hiyo kila Clinical officer ameajiriwa na anakufa akiwa ameajiriwa!??
Kichaa wewe watu tulishaacha ajira sasa hivi tumejiajiri hasa katika kilimo na ufugaji.
Pia usidhani kila anayevuna basi anavuna alichopanda,kuna wengine huwenda kununua zao kwa mkulima likiwa tayari limeshavunwa na kupakiwa katika Kiroba ama gunia ama debe.
Pia biashara zingine huwa zinamalizika kwa muhusika kugharamia usafiri kazi yako wewe ni kugharamia ushuru tu.
Msimu wa Cocoa ni kuanzia mwezi wa 8 mwishoni hadi wa tatu mwakani.
Sisi kazi yetu ni kununua ikiwa full packed boss wa kiwandani anagharamia usafiri ananipa changu basi.
Hata kama ungesema nigharamie usafiri gari ya mizigo kutoka naponunulia kwa wakulima hadi kwa tajiri ni shilingi 50 thousands za Kitanzania.
Hivyo mimi sina gharama ya mfanyakazi bali gharama za ushuru na ya usafiri kama ikilazimika kuilipia kama nitamkosa boss wa usafiri wake mwenyewe.
Nina ng'ombe makambaku mzee kila mwisho wa wiki napeleka sita mpaka saba machinjioni ya Madizini na Pugu kila mmoja anazidi kilo 180 hivyo sio chini ya laki 9 za kitanzania.
Halafu ukae unitishie mimi kamera ya 12 milion MATAKO wewe!?
Kama ukidhani watu tulisoma tukaishia kwenye kuajiriwa peke yake basi pole saaanaaaa.
Mwisho kila mtu ana kipaumbele chake,Mie siwezi kuwa mtu wa hanasa kiasi eti nunue Camera nooop.
Mzee Battle imekushinda. Umeanza kuhangaika na mambo ya ajabu ajabu tu. 🤣 🤣 🤣Umeongea kwa hasira sana. Naona niligusa penyewe. Pole kwa maumivu.
Watangoja sanaIle footballing nation bado haijapata medali yoyote. 🤣 🤣 🤣
![]()
Hii mikate inaliwa na watu maskini Tanzania most people huwa wananunua fresh bread from local bakeries ambazo ziko kila mahali na mikate yao huwa na quality kubwa kuliko hiyo.Kula Mkate wa supa loaf kwao nikama anasa, madingi ndo wanaimudu
😂😂😂
Medals 4 Mnatupigia kelele. 🤣 🤣 🤣Watangoja sana
View attachment 3063880
Halafu kuna vipicha vyao vya ku edit huwa wanaweka humu wakisema Mkapa imezungukwa na slums sasa embu watuoneshe hizo slums hapo
Embu tuoneshe hiyo air bridge ya ku accomodate A380 tucheke kidogo😁Haijai but has the capabilities.
Kwani hamna pedestrian crossing au foot bridge kwenye hizo barabara zenu.Jana karibu nikuwe na damu ya binadamu mkononi mwangu. The guy lying ahead just appeared out of Nowhere into the road, vile nilimiss hivi mtu wa lorry akapita na yeye. I stood there for almost 2 hrs just staring.
I'll never forget yesterday.😔😔
View attachment 3063693