President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Ukiwa Mshabiki wa timu ya Yanga lazima dishi liyumbe kidogo 🤣 🤣 🤣 🤣
Nilichokuwa nakiongelea mimi ni Simba Day ilikuwa imepangiliwa vizuri sana dhidi ya Yanga Day
Nikasema hata ukienda kwenye social media za timu utaona namna ya Contents zilivyoweka.
Linakuja Liutopolo hapa linaanza bragging za Kikenya mara oh!! timu yetu ni bora kuliko timu zote, mara oh!!
Sasa mimi naongelea Simba Day dhidi ya Yanga Day
Simba Day ya 16 halafu Yanga Day ya 4
Huyu DJ wa kike wa Simba DJ Sinyorita
Officer Habari wa Simba akiingia Stage
Officer Habari wa Simba Akiongea na mashabiki
Picha ya Squad ya Simba
Everything Simba was arranged professionally
Sasa hebu tupatie arrangement ya matukio ya yanga sasa.
Uswahili Mwingi na kukosa weledi