Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, I have asked you to show me any building in Nairobi or Kenya in general being developed by a tanzanian or tanzanian company. Acha kuniletea taarifa za mradi uliokwama wa Kawe
Kawe ni mradi uliokwama.? 😂😂😂
 
Ordinary kenyan ndio hawawezi shindana na wabongo wa kawaida kabisa. Kwasababu nyie vima mtu wa kawaida huko ni yule hamiliki chochote, hadi Nyumba ni ya kupanga. 😂😂😂😂
Wewe unamiliki dreamhouse hapo gongo la mboto unataka ushindane na mkenya anayenunua nyumba ya maana kwenye apartment block?

Jiulize ni Kwa nini apartment blocks with units for sale zinainuka kila kuchao Nairobi wakati Dar ni hadimu
 
Haya ni maneno ya Mtu mpumbavu 😂😂😂 ni pesa Kiasi gani Hao equity bank wamewekeza kwenye huo sim a day.? 😂😂😂😂 unajua ni pesa kiasi gani inatumika kuendesha club ya simba kwa mwezi tu.? 😂😂😂
Ni pesa kiasi gani kaka blaza? Kama mwekahazina wa Simba, tunakuomba utujulishe
 
Wewe unamiliki dreamhouse hapo gongo la mboto unataka ushindane na mkenya anayenunua nyumba ya maana kwenye apartment block?

Jiulize ni Kwa nini apartment blocks with units for sale zinainuka kila kuchao Nairobi wakati Dar ni hadimu
With no white settlers in Kenya, the apartments you are bragging of could have remained vacant. 😂😂😂tunawajua wakenya mzaee, Tunawajua 😂😂😂😂😂
 
Haya ni maneno ya Mtu mpumbavu 😂😂😂 ni pesa Kiasi gani Hao equity bank wamewekeza kwenye huo sim a day.? 😂😂😂😂 unajua ni pesa kiasi gani inatumika kuendesha club ya simba kwa mwezi tu.? 😂😂😂
Nimeshangaa sana watanzania wakisema tsh 45000 ni pesa nyingi kwa jerseys. 😂😂😂
 
With no white settlers in Kenya, the apartments you are bragging of could have remained vacant. 😂😂😂tunawajua wakenya mzaee, Tunawajua 😂😂😂😂😂
Hao white settlers wako wapi siwaoni mimi na nimetembea kenya 😂
 
Without wazungu, hata hizo international outlets wasingikuja kuwekeza huko😂😂😂 chochote mnachotamba nacho hapa ndani, ni investment za wazungu kwaajili ya wazungu in kenya. Prove me wrong. 😂😂😂
 
Nimeshangaa sana watanzania wakisema tsh 45000 ni pesa nyingi kwa jerseys. 😂😂😂
Kwako wewe ni pesa nyingi ndio 😂😂😂 Tena nyie watu wa mombasa ndio mnyamazee 😂😂😂 mana mombasa ndio imeoza kwa umaskini uliokithiri.
 
Nimewaskia watanzania wawili hapa hapa ndani wakisema hio bei iko juu nikakimbia kugoogle nikapata ni tsh 45,000. Nilicheka kwa dharau sana
 
Without wazungu, hata hizo international outlets wasingikuja kuwekeza huko😂😂😂 chochote mnachotamba nacho hapa ndani, ni investment za wazungu kwaajili ya wazungu in kenya. Prove me wrong. 😂😂😂
Kama kuna biashara kenya yenye returns za haraka ni apartments. Hii ni kwasababu ya big middle class. Kampuni zote zinazojenga ni home grown. Affordable housing mukuru slum
1722856679966.png
 
Kama kuna biashara kenya yenye returns za haraka ni apartments. Hii ni kwasababu ya big middle class. Kampuni zote zinazojenga ni home grown. Affordable housing mukuru slumView attachment 3062285
Unaweza leta local investment za hizi affordable housing tulinganishe na zilizopo bongo then tuone zipi nyingi.? 😂😂😂
 
With no white settlers in Kenya, the apartments you are bragging of could have remained vacant. 😂😂😂tunawajua wakenya mzaee, Tunawajua 😂😂😂😂😂
Maneno ya kujifariji tushazizoea. Kwamba nyumba zote for sale in nairobi zinanunuluwa na wazungu? Do you have any proof?
 
Back
Top Bottom