Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Logic ya hoja yangu ilishaeleweka,mjadala wa Sgr naufunga rasmi.
Imeeleweka kwa nani?
Pia ushauri nakupa tena, social media pages si mara zote hutoa taarifa sahihi maana huendeshwa na admins ambao nao hufanya makosa. Taarifa sahihi weka report full, au kwa za miradi angalia kwenye bajeti iliyowasilishwa bungeni. Ww una kazi ya kuweka links tu za Twitter

Pia hapa hatushindani, bali tunawekana sawa lengo wote tuelewe nn kinaendelea
 
Wewe nae ni mgumu sana wa kuelewa,hizo 10T zinahusisha gharama za kujenga reli pamoja na miundombinu mingine ya kufanya treni itembee kama umeme,ununuzi wa mabehewa ,vichwa vya treni nk..

Kwa hiyo Kila taarifa imekosewa? Harafu hata PM nimewahi msikia akizungumza hiyo figure nikipata taarifa yake nitakupa.
Unachoandika unakielewa kweli? Ww umesema ni ujenzi wa reli km 700, Sasa ujenzi wa reli km 700 inahusiana vipi na kununua treni na mabehewa? Pia hizo treni na mabehewa zimenunuliwa kwa trillion 3?
 
Tatizo mnapigia mbuzi GITAAA
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wewe Kweli ni kiande..

Ushawahi kumiliki biashara yoyote? Muda ni mali kichaa wewe, kwa kufikisha bidhaa kwa wakati Ndio kunampa fursa mfanyabiashara kufanya mizunguko mingi ya kibiashara zaidi na kutengeneza faida Maradufu

Alkadhalika kukakawia kwa kufikisha mizogo (kutumia muda mrefu barabarani) ni cost full kwa mfanya biashara since itamlazimu atumie gharama nyingi kwa gari alilokodi n.k,

Kwa kuzingatia muda itamfaidisha mfanya biashara kuweza kubeba kwa usalama na kwa haraka bidhaa nyingi zinazowahi kuharibika mf matunda, nyama na samaki..

Mbona kama nitakurudisha shule sasa.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwani we hujui kama train is suitable of carrying heavy and bulk goods ? Au unataraji hayo madini ya ujenzi n.k kutoka huko countryside yataletwa dar port kwa lories.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Then tupoteze hasara kila mwaka kukarabati thousands km of roads zilizoharibiwa na lories.?

Wewe sidhani kama upo timamu wewe. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Imeeleweka kwa nani?
Pia ushauri nakupa tena, social media pages si mara zote hutoa taarifa sahihi maana huendeshwa na admins ambao nao hufanya makosa. Taarifa sahihi weka report full, au kwa za miradi angalia kwenye bajeti iliyowasilishwa bungeni. Ww una kazi ya kuweka links tu za Twitter

Pia hapa hatushindani, bali tunawekana sawa lengo wote tuelewe nn kinaendelea
 
Tatizo mnapigia mbuzi GITAAA
Huyu ni mgonjwa, huwa anatoa mifano kichwani. Hapo juu tumetoka kuzungumzia wilaya ya mlele na sitalike junction, anachoongea hata hakielewi
Sasa hivi tumehamia vingine na haelewi, ni mama robot. Ww ukiwa na page tu Twitter basi huyu anaitumia kama ndio source ya habari zake
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wewe Kweli ni kiande..

Ushawahi kumiliki biashara yoyote? Muda ni mali kichaa wewe, kwa kufikisha bidhaa kwa wakati Ndio kunampa fursa mfanyabiashara kufanya mizunguko mingi ya kibiashara zaidi na kutengeneza faida Maradufu

Alkadhalika kukakawia kwa kufikisha mizogo (kutumia muda mrefu barabarani) ni cost full kwa mfanya biashara since itamlazimu atumie gharama nyingi kwa gari alilokodi n.k,

Kwa kuzingatia muda itamfaidisha mfanya biashara kuweza kubeba kwa usalama na kwa haraka bidhaa nyingi zinazowahi kuharibika mf matunda, nyama na samaki..

Mbona kama nitakurudisha shule sasa.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwani we hujui kama train is suitable of carrying heavy and bulk goods ? Au unataraji hayo madini ya ujenzi n.k kutoka huko countryside yataletwa dar port kwa lories.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Then tupoteze hasara kila mwaka kukarabati thousands km of roads zilizoharibiwa na lories.?

Wewe sidhani kama upo timamu wewe. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nimefunga mjadala wa sgr ,ujumbe umefika hapa unashupaza shingo tuu kujikakamua.

Sasa tunasubiria matokeo ,tutakuwa tuna post wote humu humu.
 
Are you serious na 13 Trillion za Ndege ?
Ndege hazijacost 13 trillion
787 3 ni 750mil usd
Max 9 2 256mil usd
A220s 4 ni 320mil usd
Dash 8 5 ni 135 mil usd
767 F ni 220 mil usd
Jumla 1.68 bil usd kwa rate ya sa hizi ni 4.3trillion umeandika trillion 13 umeitolea wapi , plus mbona Goverement bado inaagiza ndege , maana mwaka huu itaagiza 737 800F , BBJ 737 , na Q400

Acha kua muongo ili kutengeza point , tengenza valid point na Data

Plus hyo SGR ikifika hyo mikoa ya huko ina reduce transit time by more than 50 percent ,huoni kama hyo ni development
Save your energy. Huyo ni kichaa.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
20240804_204423.jpg
 
Back
Top Bottom