Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu mradi wa Kawe nimeusikia humu leo mwaka wa saba kama sijakosea. Hivi, tatizo ni nini na miradi za nyumba Tanzania? Huwa haziishi!
Ulisimama miaka 5 ya Magufuli,umefufuliwa awamu ya 6 ya Samia so ndio kama unavyoona unaenda vizuri na utamalizika.
 
Sector yenu ya real estate serikali ndio mwekezaji mkuu. Yani serikali ikibanwa kidogo tu hivi hakuna kinachoendelea. Private sector hawako kabisa tofauti na huku kwetu ambapo private sector is the major player in real estate sector. Ki ufupi ni kwamba ordinary tanzanians don't have the financial muscles
 
Kumbe Equity Bank nao ni wadhamini wa Simba! I had no idea.

Sportpesa na yanga, Equity na Simba.

Kenya to the world
Mzee equity bank na sportpesa (Franchise ilionza kenya) wamejaribu sana. Bila hao hizo sherehe zisingefanyika 😂😂😂
 
Usikute mchina baada ya kuona hako ka nchi hakatorudisha pesa yake kutokana na kuwa na vijana wa hovyo wa kuharibu mali kisa bei ya ugali kaona aache ku fund haka ka mradi, ni mda mrefu naona pako vile vile, mbaya zaidi naona mafundi wa kikenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Tutegemee jua kali Stadium as usual 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

My take, no afcon 😅😅😅😅😅😅😅
From "haitajengwa" to "naona mafundi wa kikenya"🤣🤣🤣
Hivi, ulitarajia kuona mafundi wa kitanzania? And please, tell us more about the progress of Arusha stadium, don't worry about Talanta coz it's getting built bruh
 
You have just proven my point. Serikali yenu ndio wawekezaji wakuu huko kwenu. Private sector ni kama haiko na kama ipo ni watazazamaji tu
Kwani Kampuni za Serikali zikiwa zinafanya hoising projects kuna shida gani? Tuna kampuni za Umma Zenye Nguvu ndio maana tunawajengea magorofa huko Nairobi👇👇

View: https://youtu.be/OMbCw66MWz4?si=phy8m6OovVsBfqMS
Screenshot_20240730-173825.jpg
 
Sector yenu ya real estate serikali ndio mwekezaji mkuu. Yani serikali ikibanwa kidogo tu hivi hakuna kinachoendelea. Private sector hawako kabisa tofauti na huku kwetu ambapo private sector is the major player in real estate sector. Ki ufupi ni kwamba ordinary tanzanians don't have the financial muscles
Ordinary kenyan ndio hawawezi shindana na wabongo wa kawaida kabisa. Kwasababu nyie vima mtu wa kawaida huko ni yule hamiliki chochote, hadi Nyumba ni ya kupanga. 😂😂😂😂
 
Mzee equity bank na sportpesa (Franchise ilionza kenya) wamejaribu sana. Bila hao hizo sherehe zisingefanyika 😂😂😂
Haya ni maneno ya Mtu mpumbavu 😂😂😂 ni pesa Kiasi gani Hao equity bank wamewekeza kwenye huo sim a day.? 😂😂😂😂 unajua ni pesa kiasi gani inatumika kuendesha club ya simba kwa mwezi tu.? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom