Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Are you serious na 13 Trillion za Ndege ?
Ndege hazijacost 13 trillion
787 3 ni 750mil usd
Max 9 2 256mil usd
A220s 4 ni 320mil usd
Dash 8 5 ni 135 mil usd
767 F ni 220 mil usd
Jumla 1.68 bil usd kwa rate ya sa hizi ni 4.3trillion umeandika trillion 13 umeitolea wapi , plus mbona Goverement bado inaagiza ndege , maana mwaka huu itaagiza 737 800F , BBJ 737 , na Q400

Acha kua muongo ili kutengeza point , tengenza valid point na Data

Plus hyo SGR ikifika hyo mikoa ya huko ina reduce transit time by more than 50 percent ,huoni kama hyo ni development
10T Sgr km 700 plus 3T za ndege Jumla 13 T.

Kimsingi ni zaidi ya Trilioni 27 zimeteketea 👇👇
Screenshot_20240326-113856.jpg

View: https://www.instagram.com/reel/C48biH-u8Wq/?igsh=a3FsNG9pM202Y2w3
 
Acha kuandika Kwa kutegemea taarifa za kuambiwa,Mimi ndio Niko huku,Mpimbwe imetoka huko Mlele na pia imekata eneo la Hifadhi ya Katavi.

Kuanzia kibaoni Hadi Mlele Junction ilikuwa Hifadhi ila Magufuli alivyokuja alitoa eneo Hilo Kwa Wananchi.

The likes ya Tanganyika DC.

Mwisho hoja ilikuwa kukata maeneo ya Hifadhi na kuanzisha makazi au maeneo maeneo ya Utawala.

Hata hiyo Nyerere NP be it imehifadhiwa au namna gani ila itakapohitajika Kwa Ajili ya kuanzisha maeneo ya Utawala ,itamegwa kama kawaida.
Kwanza kabisa hadi hapa naona umeachana na ulichosema kuwa zilianzishwa wilaya 3. Good

Turudi kwenye hii ya mpimbwe, unasema kuanzia kibaoni hadi mlele ilikua ni hifadhi? Nadhani hata huko hupajui vizuri
Kutoka kibaonj hadi mlele Kuna miji miwili mikubwa(usevya na majimoto) na usevya ikachaguliwa kuwa makao makuu ya wilaya. Sasa hiyo miji imeanza lini? Lakini pia nakuweka sawa tena, miaka yote kutoka kibaoni hadi majimoto hakukuwahi kuwa na hifadhi. Hifadhi ipo kuanzia majimoto hadi inyonga, na sio hifadhi kwa maana mbuga ya wanyama, Bali ni hifadhi ya misitu(pori)

Pia unasema Kuna hifadhi huko mpimbwe ilikatwa kuanzisha makazi, ni makazi gani hayo? Naomba jina lake

Narufia tena, Huelewi kitu chochote na nakusisitiza usiwe unaandika vitu huvijui
 
Wewe Rudi upya kusoma nilichoandika,nimekwambia kuanzia Kibaoni kwenda Mlele Junction,najua hujui,hii mlele Junction ipo kama unaenda Sitakike (ndani ya sehemu ilivyokuwa ya Hifadhi zamani na imetolewa Kwa Wananchi) na sio kama unaenda Majimoto kama unavyosema wewe 😂😂
 
Kwa nini roho iniume? Mimi sijawahi kubaliana na Sgr since day 1 ,tumepigwa na kupoteza hela.

a)13T za Ndege 14 ,Barabara km 9,000
b)10.5T za Sgr km 700 Barabara km 6,000

Saizi tungekuwa tunazungumzia lami takribani km 15,000 Kwa investments ya 23.5T iliyomwagwa kwenye miradi ya Maonesho, cosmetic projects.

As we speak Tanzania ingekuwa.juu ya Kundustan Kwa Uchumi ila Kwa kuwa hamna akili ya kufikiria kipi kianze na kipi kifuate na lini ndio maana mnashangilia ujinga 👇👇

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1819110185480474692?t=_qVsO48V6sF8D4m2t00mgA&s=19

Haya unayondika huwa unawaza kutumia nini?
Ndege 14 zimenunuliwa kwa trillion 13??

Huwa unaandika tu kujifurahisha au unamaanisha?
 
Wewe Rudi upya kusoma nilichoandika,nimekwambia kuanzia Kibaoni kwenda Mlele Junction,najua hujui,hii mlele Junction ipo kama unaenda Sitakike (ndani ya sehemu ilivyokuwa ya Hifadhi zamani na imetolewa Kwa Wananchi) na sio kama unaenda Majimoto kama unavyosema wewe 😂😂
Huwa unajua kweli unachoandia? Kibaoni ni njia panda, ipo kutoka kibaoni kwenda sumbawanga kupitia lyazumbi
Ipo kibaoni kwenda mlele kupitia majimoto
Na ipo kibaoni kwenda mpanda mjini kupitia sitalike
Ww unasema kupitia sitalike? Is it?
Kutoka kibaoni hadi sitalike? Hakuna makazi yoyote, Hilo ni eneo la hifadhi. Kama Kuna makazi/mji basi naomba uutaje
 
Huwa unajua kweli unachoandia? Kobaoni ni njia panda, ipo kutoka kibaoni kwenda sumbawanga kupitia lyazumbi
Ipo kibaoni kwenda mlele kupitia majimoto
Na ipo kibaoni kwenda mpanda mjini kupitia sitalike
Ww unasema kupitia sitalike? Is it?
Kutoka kibaoni hadi sitalike? Hakuna makazi yoyote, Hilo ni eneo la hifadhi. Kama Kuna makazi/mji basi naomba uutaje
Hujui kitu Sasa,subiria uelekezwe wewe mbumbumbu.

Kuanzia Leo ndio nakwambia Sasa kwamba Kuna njia panda kabla hujafika Sitalike kutokea hapo Kibaoni ndio wanaita Mlele Junction ,achana na njia ya Majimoto-Kavuu Hadi Inyo ga(Mlele).

Mwisho naendelea kukwambia na elewa kwamba Hilo eneo kuanzia hapo Kibaoni Hadi mlele Junction likikuwa sehemu ya Katavi NP na Magufuli alilitoa Kwa Wananchi.
 
Kabla hujafika sitalike hakuna njia panda yoyote, sitalike ni mji wa mwisho na ndio mwanzo wa hifadhi ukiwa unatoka mpanda

Hakuna njia panda inaitwa mlele. Hataa hivyo wilaya ya mlele huko haijafika kabisa

Huwa unaweka Sana links na vitu gani sijui kila mara, Sasa basi weka link au chochote kinachosema kuhusu hiyo mlele junction
 
Muache huyo ni zuzu huyo 😂😂😂
 
Kwahiyo according to you tusingejenga reli is it.?
Wrong timing and wrong scale of preference,Tungenza Barabara kila Kona ya Nchi kufungua Uchumi then tuanze Sgr ,walau uchukiwa Ukiwa Dola Milioni 100.

Na kama tungewekeza hivyo ,Kwa Sasa tungefikia hiyo Bilioni 100 na hapo tungeanza sgr Sasa bila hata maumivu Wala ku stress uchovu na sekta zingine.

Ukifeli kupanga umefeli mazima,Sgr imekamilika Hakuna mzigo wa kubeba 😃😃😃😃😃
 
Wewe sio mzima wewe 😂😂😂 kwa barabara let’s say, ukitoka Dar-Mwanza kwa basi ni almost siku nzima unaitumia njiani, masaa 18 unatumia njiani, hii ni kwa basi la abiria, lory la mizigo linatembea muda gani.?

Kwa SGR treni itatumia masaa saba + kubeba mzigo mara Dufu ya mzigo ule utakaobebwa na lories kadhaa kwa cost ya chini zaidi na haraka zaidi.

Ikiwa una akili timamu hii inakwambia nini.? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom