Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Larger number ya investers ni foreigners na wanunuaji pia ni foreigners. Kwa kifupi with no wazungu settlers in your country then there’s nothing you can compete with us. Facts.
Alafu mwisho unaandika facts huu wako ni ukatuni.
 
Huu hapa mradi wa affordable housing Geza ulole Dasilinga 👇🏾
IMG_0611.jpeg
wewe kima Reborn Ktb Njoo ulete zile numba za huko kwenu zenye ni affordable done by locals.
 
Nilikuambia wewe ndo mtanzania hapa ndani hujafika Mombasa. Siku ukiwai hela lazima utakuja 😂
Ngoja nikujuze 😂😂😂 mimi babaangu kwao ni Hapo jasini i, tunatenganishwa na jiwe la msingi liloandikwa upande kenya, upande Tanzania.😂😂😂😂 watu wa mombasa ni maskini kupita maelezo.. nawajua.
 
Ngoja nikujuze 😂😂😂 mimi babaangu kwao ni Hapo jasini i, tunatenganishwa na jiwe la msingi liloandikwa upande kenya, upande Tanzania.😂😂😂😂 watu wa mombasa ni maskini kupita maelezo.. nawajua.
So wewe unawajua watu wa mombasa kunishinda??? Tafuta hela kijana utajua dar slum ni mtoto wa Mombasa
 
Chooboy ichoboy01 mskilize tajiri wenu Mo Dewji dakika 00:48 anakwambia dadake mkubwa samira anaishi MOMBASA. Yani nikisema ni ndoto yenu kufika huku nimekosea 👇😂😂


View: https://twitter.com/Gaspinho15/status/1820173222211469665?t=D9C28yG2v4SNJHxR_DzeCw&s=19

So kama kaolewa Huko ulitaka amuoe yeye?

Ila wakenya nyinyi kama mishipa ya akili yenu inayoka kwenye makalio 😂😂😂😂 Yule ni dada yake mkubwa maana yake kaolewa so ulitaka amuoe yeye au????
 
So wewe unawajua watu wa mombasa kunishinda??? Tafuta hela kijana utajua dar slum ni mtoto wa Mombasa
Huyu jamaa amejenga nyumba katikati ya mpaka😂😂😂 👇🏾
View: https://youtu.be/bPuOKHVsc7E?si=mV10l_FYRqiVEwcZ. Watu wa mombasa nimeishi nao nawajua vizuri sana, kuanzia ushoga, venye they are lazy, maneno yao maziiiito 😂😂😂. They speaking like them singing. 😂😂😂. I know them better. By the way mdogo wangu aliolewaga huko Mombasa (dingi alilengesha connection) 😂😂 basi bwana huyo jamaa wa mombasa aliachwa becoz of his laziness.. “wazee wa maaa chapati ngumu” huwa tunawadharau sana wakifika Tanga. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom