ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mitumba imekwama tena๐๐๐คฃ๐คฃ๐๐
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1820152969393787295
Kasema Maria sarungi ๐๐๐๐
Mitumba imekwama tena๐๐๐คฃ๐คฃ๐๐
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1820152969393787295
Leta ushahidi wameingiza bure manina mm mwenyewe nimekosa ticket na nimeenda ijumaa๐๐๐๐๐๐Mambo ya kuingia uwanjani bure?๐๐๐คฃ
Leta ushahidi ๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View attachment 3061696
Alooo ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Hiki anachokisema master j ndio watanzania wote tunavyojua kunyan mpo hivyo,ni washamba washamba,imagine arusha kuna baridi kuizidi naikundu ila ukifika naikundu kila mtu kavaa winter jacket
Wenye akili India Approves Eight New National High-Speed Road CorridorsZimeteketea maana yake nini, kwamba hakuna kilichofanyilka au ๐๐๐๐๐
Hapo ilipasa umjibu "sawa" alafu mwisho unaweka ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃStyle gani na inafanya vizuri wapi.? ๐๐๐
Wakiona hii watanuna Sana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View: https://www.instagram.com/reel/C-NdI7oMe7c/?igsh=cWVzYXMwOTI5dnVj
Kwenda zako ww usituletee upuuzi wako na akili za kibeberu hapa ๐๐๐
Sasa tangu lini akili za kijamaa zikaleta maendeleo zaidi ya Kuzalisha mafukara ili watawaliwe vizuri?Kwenda zako ww usituletee upuuzi wako na akili za kibeberu hapa ๐๐๐
View: https://youtu.be/bbHO4Mz5SKU?si=KjhJrpSHMiN3iu2P
MY TAKE
A380 itatua hapa!
mara ya mwisho huko Ukunduni mmejenga uwanja wa size hii lini? NairobiWalker
Kwahiyo hii inamaana gn, kwamba lugha ya mtu aliyeku colonize ni bora kuliko yako?Naona mnaumwa kweli. Tofauti ni kuwa huyo Mkenya wa mtaani anaweza communicate kwa Kiingereza ukaelewa, yule aliyeingia darasani atakuongelesha Kiingereza fluent. Meanwhile hapo Bongo huyo wa darasani bado atastruggle, yule wa mtaani ndio majanga, hapo hamtoelewana kabisa. Ukipata Mtanzania anaongea Kiingereza safi jua huyo hakusomea Tanzania.