ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Naona mumeanza kudanganyana kua tayari team munayo ila tarehe 8 mutachapana viboko 🤣🤣🤣🤣Tafadhali kijana kuwa na adabu maana naona pressure yako inapanda na kushuka 😁
Hawa wapuuzi kweli walidhani Yanga ni timu ya kuikurupusha tu tunaomba mechi? Wakacheze na Ihefu ndio size yao…..😅😅Gor Mahia haina hadhi ya kucheza na Yanga kwa sasa, ni sawa na timu ya mchangani iite Man united icheze nayo, timu za hadhi ya Yanga huwa zina ratiba nyingi, so ukitaka kucheza nayo inabidi uombe mwaka kabla, pia kwa ajili ya kulinda wachezaji wao kuumia kutokana na timu ndogo kukamia mechi.View attachment 3060906
Master J ka-summarize battle, kila siku tunawaambia hivi hawa Wakenya ila bado mmeshupaza shingo sasa hivi tumeishatick maeneo kibao ambayo hamtuwezi mmebakiza tu Inglishi ambayo nayo hamjui sawa sawa…..😅😅Hiki anachokisema master j ndio watanzania wote tunavyojua kunyan mpo hivyo,ni washamba washamba,imagine arusha kuna baridi kuizidi naikundu ila ukifika naikundu kila mtu kavaa winter jacket
Huyu ni mtupu kwenye uelewa!Tanzania yenye watu million 61 inatumia mzigo mkubwa kiasi hiki wa chuma, vipi kwa DRC yenye zaidi ya watu million 100? Bado huoni SGR is viable? Na hii ndio aina ya mizigo ya SGR
View attachment 3061025
Yanga ilichapwa na Kariobangi SportPesa Cup.Makalio wewe Yanga gani ilicheza na kariobangi!?
Yanga imetoka South Africa juzi aya Yanga ipi imecheza na timu ya KE juzi?
Hiyo ilikua ni mwaka gani kaka.? 😂😂😂 mbona unataja mavi ya kale.?Yanga ilichapwa na Kariobangi SportPesa Cup.
Nilikuuliza kama una pesa na bado hujanijibu. Nangoja answer yako.Hiyo ilikua ni mwaka gani kaka.? 😂😂😂 mbona unataja mavi ya kale.?
Zambia na malawi wanaongea fluently english kushinda kunyan na atuwasikii kujitambia hiyo lughaMaster J ka-summarize battle, kila siku tunawaambia hivi hawa Wakenya ila bado mmeshupaza shingo sasa hivi tumeishatick maeneo kibao ambayo hamtuwezi mmebakiza tu Inglishi ambayo nayo hamjui sawa sawa…..😅😅