REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,235
- 10,919
Mama anaupiga mwingi.My Take: Kwa nini hakuna taa kwenye hili daraja kama pale Magufuli Bridge ya Kilombero River?
Mama anaupiga mwingi.My Take: Kwa nini hakuna taa kwenye hili daraja kama pale Magufuli Bridge ya Kilombero River?
Kwenye mradi wa Amber resort kuna medical facility ya nguvu inajengwa na Mwinyi anajenga hospitals nyingi tu.Kwenye hilo kitu ni kama huelewi unachoongea. Kinachofanyika hapo ni kuunganisha filamu na utalii, kama Africa kusini, unajua kwa nini studio kubwa ipo Cape town na sio joburg?? Ninkwa sababu ya utalii.
Pia nineona sehemu umeongelea hospital. Zanzibar mpaka sasa, na mikakati yote iliopo, hakuna hispitali ya hadhi ya dunia. Kuwa na hospitali yenye worlds class facilities ni lazima kwa sasa ili Zanzibar iweze kupaa. Kuna fursa nyingi wanazikosa sababu hakuna facilities hapo Zanzibar. Naomba uelewe hivi vitu.
Nili m-challenge kidogo akanilima block. 😂😂😂Huyo dada kajificha kenya,anavyozeeka na akili zinamruka pia
Ndio reli ya Tazara wanajenga hivyo, kutakuwa na viwanda vya kumwaga kwenye njia upande wa Tanzania na Zambia. Nimesikia Maza anasema watakonekt Tazara na SGR, does it mean plan ya kwanza ya kukarabati imewekwa kando na tunakwenda SGR Tazara?Mhh , inaweza ikabaki Tz na isilete hasara per se as you speak mfano , Tukiamua kujenga indsustrial parks along SGR lets say Dodoma na Singida , mizigo iwe inabebwa na SGR, pia SGR ina life span kubwa na nchi ina develop , inabidi ku targert kuwa kubdouble exports in next 10 years , hili litawezekana kwa kujenga industrial parks
ku-connect haimaanishi kuibadili kuwa SGR, pale Kilosa Morogoro kuna connection ya MGR na TAZARA’s CGR pia!Ndio reli ya Tazara wanajenga hivyo, kutakuwa na viwanda vya kumwaga kwenye njia upande wa Tanzania na Zambia. Nimesikia Maza anasema watakonekt Tazara na SGR, does it mean plan ya kwanza ya kukarabati imewekwa kando na tunakwenda SGR Tazara?
Cc Geza Ulole
Mimi pia alinilima block kitambo sanaNili m-challenge kidogo akanilima block. 😂😂😂
GOT inatakiwa ikataze matumizi ya Tugboats si salama!KPA ya hovyo sana yani... Karibu mwezi wa tatu huu wameshindwa kuvuta hiyo barge.. Unaenda mwezi wa nne huu kontena za watu wanashindwa kupata mizigo yao.
Tayari kuna shipping line zimefungua kesi kwenye ngazi za juu za usafiri wa majini. Tusubirie watapigwa fine gani. Na meli zitawakimbia sasa maana service mbovu. Unajiita transhipment port na huna tug boat zenye nguvu ya kuvuta barge ya containers 300!!??
Hao wanachoweza kupika data tu pale kiberaKPA ya hovyo sana yani... Karibu mwezi wa tatu huu wameshindwa kuvuta hiyo barge.. Unaenda mwezi wa nne huu kontena za watu wanashindwa kupata mizigo yao.
Tayari kuna shipping line zimefungua kesi kwenye ngazi za juu za usafiri wa majini. Tusubirie watapigwa fine gani. Na meli zitawakimbia sasa maana service mbovu. Unajiita transhipment port na huna tug boat zenye nguvu ya kuvuta barge ya containers 300!!??
Jamaa wanafurahi kui-challenge serikali but they don’t want to be challenged 😂😂😂 ukithubutu tu wanakupiga ban, and they claim to be democrats. Chadema ni chama cha watu wapumbavu 😂😂😂Nili m-challenge kidogo akanilima block. 😂😂😂
10T Sgr km 700 plus 3T za ndege Jumla 13 T.
Kimsingi ni zaidi ya Trilioni 27 zimeteketea 👇👇View attachment 3061567
View: https://www.instagram.com/reel/C48biH-u8Wq/?igsh=a3FsNG9pM202Y2w3