RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,881
- 129,910
Hivi huyo Mkenya anaejisifia English ni Mkenya gani? Na huyo Mtanzania anaesemwa hajui English ni Mtanzania gani?Zambia na malawi wanaongea fluently english kushinda kunyan na atuwasikii kujitambia hiyo lugha
Mbona ukiingia mtaani Wakenya wengi tu wana Kiingereza kibovu. Ukiona anaongea Kiingereza kimenyooka ujue kaingia darasani kama Watanzania tu. Angalia random TV interviews utawasikia wanavyobomoa lugha ya watu.