Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila sisi ni wachokozi. Vijana wadogo wa shule za upili wameenjoy diamond hadi mibaba mizima akina Master J jimetoa kauli za hasira dhidi ya Wakenya. 🤣 🤣 🤣
Hiki anachokisema master j ndio watanzania wote tunavyojua kunyan mpo hivyo,ni washamba washamba,imagine arusha kuna baridi kuizidi naikundu ila ukifika naikundu kila mtu kavaa winter jacket
 
Attachments

  • TikTok_7397710033481370885.mp4
    3 MB
Ulitakiwa ujiulize Sasa kwamba kama haipiti Tanzania inapita wapi?

Je unadhani ukijenga Sgr ndio itaacha kupita huko inakopita ije huku Bongo?

Reli yenyewe inategemea Huduma za DRC ku extend Hadi kwao ndio iwe na maana.

Mwisho huko mnakosema itaendelea hakuna hata Serikali,hiyo reli itafikaje? Sgr mliyojenga Kwa Sasa Ina faida gani?
Unataka kusema tukijenga railway kufika Kindu na itakua ndani ya siku 2 tutaweza kusafirisha let's say petrol kutoka Dar port mpaka DRC kwa just 20% costs ya traditional way, watayakataa hayo mafuta kisa hayajatumia miezi mitatu kuwafikia na kwa bei mara 10 ya waliozoea? Hata hawa abiria wanaobebwa na SGR saivi wakina abood na shabiby hawakuwategemea ndio maana walikua bado wanaingiza buses mpya wakati wanajua safari za SGR zipo mbioni kuanza.
 
Ulitakiwa ujiulize Sasa kwamba kama haipiti Tanzania inapita wapi?

Je unadhani ukijenga Sgr ndio itaacha kupita huko inakopita ije huku Bongo?

Reli yenyewe inategemea Huduma za DRC ku extend Hadi kwao ndio iwe na maana.

Mwisho huko mnakosema itaendelea hakuna hata Serikali,hiyo reli itafikaje? Sgr mliyojenga Kwa Sasa Ina faida gani?
Hii SGR mpaka DRC ni kama pia tutakua tunaimiliki Tanzania, sababu hata umeme utakaotumika mpaka DRC utakua kutoka Tanzania, SGR transmission line yetu ni kv220 lakini umeme unaotumika na train yetu ni kv35 tu, ukipiga jicho la kitafiti tuna potential ya kupiga ndege wawili kwa jiwe 1, na umeme tutawauzia, Burundi, Rwanda na DRC kwa project 1 tu ya SGR
 
Ni kwamba baada ya miaka mi5 Tanzania tukijiposition vizuri tukafata visions za JPM ni kwamba TANESCO, TRC na TPA pekee wanaweza kugharamia budget nzima ya serikali bila kutegemea vyanzo vingine vya mapato, sijui miradi ya umeme kule Njombe ya Lumakali na Luhuji ambayo ilikua inaenda kutupa megawatts zaidi ya 1000 iliishia wapi, sababu SGR ikiisha inahitaji umeme zaidi ya megawatts 2000 tukiwa full operational DRC to Tanzania

View: https://x.com/ClubMagufuli/status/1347520252347904001?t=5aE08zbEdNblCA1WxG8TBw&s=19
 
Hii SGR mpaka DRC ni kama pia tutakua tunaimiliki Tanzania, sababu hata umeme utakaotumika mpaka DRC utakua kutoka Tanzania, SGR transmission line yetu ni kv220 lakini umeme unaotumika na train yetu ni kv35 tu, ukipiga jicho la kitafiti tuna potential ya kupiga ndege wawili kwa jiwe 1, na umeme tutawauzia, Burundi, Rwanda na DRC kwa project 1 tu ya SGR
Hoja yangu inasalia kuwa ni timing,ingekuwa na maana tuu kama upande wa pili kungekuwa tayari kuwa served economically na kuko vibrant enough badala yake hakuna Serikali kiasi kwmaba hata huo Uwezekano wa Sgr kujengwa Kwa Sasa haupo.
 
Sio kweli kwamba eastern drc yote ipo unstable, ni eneo dogo sana kama wilaya 1 tu na sgr yetu haipo huko, of course ni sgr yao sababu wamegharamia wao,

Tunataka kufanya biashara hii kwa sgr kuliko barabara sababu huwezi kubeba mzigo mkubwa wa DRC na utengeneze faida inayoeleweka bila railway, pili ni fedha za kigeni, DRC wanalipa kwa dollars, kwa kufanya biashara nao hatutategemea watalii na madini au mauzo ya mazao nje kulipia mikopo in dollars ya SGR, ni automatically mikopo itajilipa yenyewe kwa currency tuliokopea, tofauti na mawazo yako kwamba tungekopa hayo matrilioni tujenge barabara.
 
Mda utasema ,tutarudi hapa,nawapa miaka 5 baada ya Sgr kufika Burundi maana hii ya Tanzania ya ndani ya Tanzania ni hasara tuu hakuna Cha maana Cha kubeba , excuses mliyobakia nayo ni kwamba ikivuka boda ndio italeta Tija.

Tuombe uzima by 2030-2035 tutapata majibu kamili.
 
Ni obvious hakuna biashara ya maana kwa Tanzania pekee kufanya hii project ibreakeven, lazima tupate mzigo wa DRC na ndio maana ikaelekezwa huko, ni feasibility studies za maana zilizofanywa na reputable international organizations hatimae project ikaonekana viable
 
View: https://x.com/ndula_victor/status/1819660993351319708

GUC79dGXYAMp9X9

Hii naitunza
 
Back
Top Bottom