Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa sababu wewe na balozi hamna akili.
Always nyie Wafuasi wa Magufuli ni brainless ndio maana mnatumia Trilioni 10 kujenga km 722 za Sgr badala ya over 6,000 km za Barabara.😆😆👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-JBcW1KB0D/?igsh=cHdra3U0aWo4Mmxi

My Take: Yale Yale ya Djibouti-Ethiopia Sgr train.

Kama mungejenga Barabara saizi tungekuwa tunavuna Uchumi tuu maana hizi complications zingekuwa hazipo.

Kwenye uchumi timing na maamuzi sahihi ndio ishu critical , mwisho wa siku Sgr itakuwa Inachukua kodi Ili kuihudumia, upuuzi.
 
Ngojeni miaka 30 iishe mhindi afikirie kama atawarudishia port🤣🤣😂😂👇👇👇

View attachment 3058762
Container terminal before Huyo kupewa alikuwepo mwekezaji kutoka Germany anaitwa TICS nae mkataba wake uliisha akapewa Huyo muhindi 😅😅😅 Huyo hamiliki ila amepewa sehemu aendeshe kama alivopewa DP, lakini talanta ni Mali ya mchina 100% kama ilivo SGR, GTC, expressway etc
 
Umepost lakini roho unakuuma balaa😅😅😅
Kwa nini roho iniume? Mimi sijawahi kubaliana na Sgr since day 1 ,tumepigwa na kupoteza hela.

a)13T za Ndege 14 ,Barabara km 9,000
b)10.5T za Sgr km 700 Barabara km 6,000

Saizi tungekuwa tunazungumzia lami takribani km 15,000 Kwa investments ya 23.5T iliyomwagwa kwenye miradi ya Maonesho, cosmetic projects.

As we speak Tanzania ingekuwa.juu ya Kundustan Kwa Uchumi ila Kwa kuwa hamna akili ya kufikiria kipi kianze na kipi kifuate na lini ndio maana mnashangilia ujinga 👇👇

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1819110185480474692?t=_qVsO48V6sF8D4m2t00mgA&s=19
 
Acha uongo😂😂🤣.

Ingekuwa aim Yao ni connection na Tz then mbona waanze kujenga SGR Yao from Malaba which is Kenyan border?🤣🤣😂
Tuoneshe walipoanza kujenga 😅😅😅😅

Hio story IPO toka munaanza kujenga SGR kwenda Nairobi, nioneshe sehemu ujenzi unajengwa na ntakukumbusha after 2yrs again
 
Kwa nini roho iniume? Mimi sijawahi kubaliana na Sgr since day 1 ,tumepigwa na kupoteza hela.

13T za Ndege ,Barabara km 9,000
10.5T za Sgr Barabara km 6,000

Saizi tungekuwa tunazungumzia lami takribani km 15,000 Kwa investments ya 23.5T iliyomwagwa kwenye miradi ya Maonesho, cosmetic projects.

As we speak Tanzania ingekuwa.juu ya Kundustan Kwa Uchumi ila Kwa kuwa hamna akili ya kufikiria kipi kianze na kipi kifuate na lini ndio maana mnashangilia ujinga 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-JD49msuDb/?igsh=N2tsMjVqeDhscHY3

Alaf maintenance cost inakuja bei gani after each 5yrs na wakat mwengine hata 3yrs haimalizi, alaf hii population inayoongezeka watakuja kutegemea Barbara pekee kama njia ya usafiri?? Tatizo lako wewe unamawazo yakibeberu hua hamufirii maisha ya wengine Hasa watu WA chini munafkiria vp maisha yenu wachache yatakua mazuri. Tanzania ni miongoni mwa nchi ifikapo 2030 tunaweza kufika 70m unafkiri kuna usafiri gani ambayo unaweza kuchukua watu zaidi ya 200 kwa muda mmoja zaidi ya reli na meli?? Leo unataka port of dar iwe shindani east Africa hio efficiency utaitoa wapi kama huna reli yakusafisha mzigo mkubwa na kwa gharama ya chini ili wateja washawishike kutumia port of dar... Unless unambie ww hujui uchumi then ntakuelewa 😅😅😅
 
"Sumbawanga Na Katavi kuna imani za kishirikina je nao ni Qur'an kaka!" Nenda kaangalie hao huko Sumbawanga ni wakina nani? Angalia mambo yote ya kiushirikina ni aina gani ya maandiko kama sio Quran. Wapi umeona mganga wa kienyeji siye wa imani hiyo?

Haya hata sio mambo ya kubishana. Uharabuni karibia kote kwenda shule ni marufuku, juzi tu hapa Taliban wamepiga marufuku. In Nigeria most states zenye sharia law hawaendi shule bali madrasa.

"Al-Jinn (Kiarabu: الجن, “Jini”) ni sura ya 72 (sūrah) ya Quran yenye aya 28 (āyāt). Jina pamoja na mada ya sura hii ni majini. Katika Quran, imeelezwa kuwa wanadamu wameumbwa kutokana na ardhi na majini kutokana na moto usio na moshi."
"Qur'an pia inaeleza kwamba majini, kama wanadamu, ni viumbe wenye uwezo na mamlaka, na wao, kama wao, wanaweza kuchagua kati ya utii na uasi, imani na ukafiri. Haya yanathibitishwa na kisa cha Shetani na tukio la majini kuthibitisha imani kama inavyopatikana katika Sura Al-Ahqaf na Al-Jinn."

"Sura Al-Jinn - 1-28, Katika Sura Al-Araf: 27 imeelezwa kwa maneno yaliyo wazi kwamba majini wanawaona wanadamu lakini wanadamu hawawaoni."
😂😂😂😂😂😂😂😂Aiseee naona unataka tujadili.
Sumbawanga kuna WAGANGA WENGI TENA WANAWAKE WAKRISTO PURE KINA JANE.
KATAVI NIMEFIKA KUNA WAKRISTO WENGI WAGANGA.
Tusiende mbali Songea kwa wangoni ni washirikina kufuru ya Mungu na idadi kubwa ya wangoni wakristo.
Utaniambia nini wewe bwana mimi nimetembea!?
Hao kina KAKOBE NA MWAMPOSA wale si washirikina wanaojificha nyuma ya BIBLIA?
Au unadhani sisi hatujui!?
KAKOBE si alikua anajifanya anaponya hadi tasa wasiozaa kumbe alikua anawapa watoto nyoka!?
-Nikisema kaka hujaelimika nitakua nimekosea!?
Sikujua kama bado una fikra dumavu hivi A'Araf verse 27 Mungu anatuambia kuwa tuwe makini na kizazi cha mashetani maana wao ndio waliomtoa baba yetu Adam na mama yetu Hawa peponi kwa kuwashawishi madhambi,hasa wao wanatuona ila sisi hatuwaoni.
Je Biblia haijamzungumzia shetani kuwa ndio chanzo cha maovu!?
Je biblia haitambui uwepo wa hao viumbe!?
-Ndio sawa Al jinni imezungumzia kuwa majini wapo waislam na wapo waovu,ila je unafahamu kama Quran hiyo hiyo imekataza sisi kushirikiana na majini?
Je unafahamu kuwa Quran hiyo hiyo imesema Mungu hamsamehi mshirikina!?
Quran kiufupi imeeleza majini ni sehemu ya viumbe vya Mungu na HATUTAKIWI TUSHIRIKIANE NAO KWASABABU SIO VIUMBE VYA KUTUMIA AKILI.Na pia Mungu kakataza ushirikina na kushirikiana na majini.
Wale wana dunia yao tuwaache katika dunia yao na sisi tuishi katika dunia yetu.

-Unasemea kuhusu Taleban.YOU ARE MISINFORMED.Taleban Afghanistan imekataza WANAWAKE KUSOMA ila wanaume wameruhusiwa kusoma.
Je nikuletee majina ya shule na vyuo vya Afghanistan!??
Halafu umeitaja Afghanistan tu mbona hujataja nchi kama QATAR,DUBAI,BAHRAIN,JORDAN,SAUDI ARABIA,MALAYSIA,INDONESIA,BRUNEI DARUSALAAM!?
Haya mataifa yana HIGHER LITERACE RATE KULIKO TAIFA LOLOTE HAPA AFRICA.
Na sana sana SAUDI ARABIA UNAJUA KUNA VYUO ambavyo ni world ranked!?
Je Tanzania mna vyuo world ranked!??

Unaonekana wewe ni mtu uliyejazwa chuki za kidini halafu point zako ni nyepesi sana hazina hata mashiko.
Tanzania kuna shule ambazo ni ISLAMIC SEMINARY zinafundisha Qur'an na masomo ya secular,hivi unajua suratul Maidah ina topic ya atom!?
-Almuntazir.
-Yemeni schools .
-Ilala Islamic
-Kirinjiko Islamic
-Chalinze Islamic.
-Almaktum colleges
-Paradigms colleges
-Muslim University of Morogoro
Hivi vyote ni vya waislam je wanafanya nini kama Quran imewakataza wasisome!?

Bro kaka badilika acha fikra za KITUMWA NA DUMAVU NA ZA CHUKI AMA UDINI,havitakupeleka popote.
Kassim Majaliwa muislam yule na madrassa kasoma.
Huijui Quran hivyo usikae na wazee wenzako mkaanza kumezeshana uongo.
Unasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom