Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hii kitu kumbe ili-collapse na hata hukusema Teargas
View: https://x.com/Kiprono__/status/868487399566974977
With all your years bado huelewi Definition of vandalism?😂😂🤣🤣
Hii kitu kumbe ili-collapse na hata hukusema Teargas
View: https://x.com/Kiprono__/status/868487399566974977
Ukunyani mkinionyesha Presidential coach kama hii nahama humu ndani
![]()
View: https://x.com/TimesMajira/status/1819054554853659111
VS
View: https://youtu.be/r91B0eDqCak?si=uhEjJ2Lel2DxzA1F
CC: Teargas NairobiWalker n mwathadan
Hapo alikaa kipande cha safari kati ya Dar na Pugu kwa ajili ya mahojiano! Baada ya hapo alikaa behewa la mwisho!
Are you aware your SGR imekwama tena?🤣🤣😂😂Hapo alikaa kipande cya safari kati ya Dar na Pugu kwa ajili ya mahojiano! Baada ya hapo alikaa behewa la mwisho!
Ningekuwa Mimi ningetumia Trilioni 10 kujenga km 6,000 za Lami Nchi nzima ambazo Zingechochea Uchumi na kupunguza umaskini badala ya kujenga km 722 za Sgr 🤣🤣🤣👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C-IcZKYNkza/?igsh=OW84c2d1Z2F1ZzBl
My Take: Balozi nae ameniunga mkono hapa 👇👇
View: https://twitter.com/JapanAmb_TZ/status/1818883363203133893?t=ddqNcpjJ3q57Kp0sjl2JWw&s=19
Sasa kama national coverage ya stima Tanzania yoye ni 35% ya taia, unaexpect SGR itatoa stima wapi?Kwani hawa watu hawachoki na kulala porini like wild animals?😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3059002
View attachment 3059003
Hehehe alafu walidanganywa ati hizo trains zitakuwa na battery zenye uwezo wa kutembeza trains kilomita kadhaa, kumbe ilikuwa tu battery ya kuwasha taa🤣🤣😂😂Sasa kama national coverage ya stima Tanzania yoye ni 35% ya taia, unaexpect SGR itatoa stima wapi?
Wahadza msituni Danganyika hawajui ata stima ni nini wanakula na kuvaa Kima tu