Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tioneshe treni inatembea na vichwa viwili kama yenu. Hapa ni distance away picha imepigwa na kichwa kingine kipo umepnde mwingine wa rail track.
Vichwa viwili. Mtumba halina nguvu🤣🤣😂😂👇👇👇

1722552171526.jpeg
 
Hao sio raia bali ni lile kundi ndio wako mtandaoni wakishangilia ushindi wao wa kuhujumu huu mradi. Mama anatakiwa asicheke na kima, Tunatakiwa kufunga waha mmbwa!!

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1819111620213154064

Mimi tabia ya watu kushangilia mambo yakiharibika inanishangaza sana. Hii inatokana na low self esteem, kutojiamini kwa vijana wengi wa kiafrica. Wanajidoubt? Hawajikubali nk...kwa hiyo siku zote wanaamini katika kufeli tu...yaana mashangilio ya treni kukwama ni makubwa kuliko treni kuiona inatembea na kufika kwa wakati. Mbaya zaidi wanakejeli tu na kulaumu hawatoi mawazo ya nini kifanyike kiboreshwe zaidi. Waandishi wa habari na wao kufanya research, kuchunguza na kutoa habari zinazoeleweka na wao ni kama wanatamani mambo yafeli washangilie na kupost haraka.

Ushirikina na uchawi hautakaa uishe Africa. Na mbaya zaidi unaenezwa mpaka kwa vijana. Yote haya husababishwa na roho hizi za kusubiri mambo yafeli washangilie hata kama yeye ananufaika nayo yakienda vzr
 
Mbaya kusema haya ila ndio ukweli ndugu yangu. Imani za kishirikina na majini ni moja ya mafundisho ya Kuraan na watu hao ndio uamini sana mambo hayo kuliko elimu. Na ndio watu wanao tukwamisha Tanzania.
 
Mkuu hapa umetukosea sana Watu wa imani ya uislamu.
Kwa hiyo unataka kusema wanaoshangilia kufeli wote waislam!??
Mkuu jitambue na kuwa na busara kidogo sikutegemea uongee kauli isiyo na mashiko na ya kijinga kama hii.
 
Mtu aliyeelimika achana na msomi kuwa mdini au kuona kama Iman fulani ni barrier za atakuwa bado yupo safarini kuufikia uhuru wa kifikra
 
Mkuu hapa umetukosea sana Watu wa imani ya uislamu.
Kwa hiyo unataka kusema wanaoshangilia kufeli wote waislam!??
Mkuu jitambue na kuwa na busara kidogo sikutegemea uongee kauli isiyo na mashiko na ya kijinga kama hii.
My apologies.

Angalia nilichojibu. Nimesema imani za kiishirikina na majini hayo ni mambo yaliyomo kwenye mafundisho ya kuraan. Its a bitter fact ambayo hazisemwi mara kwa mara. Angalia idadi ya watu wasio weza kusoma na kuandika kwenye nchi yeyote ile. In Nigeria over 60% ni illiterate na wote ni northerners watu wa madrasa. Zanzibar idadi kubwa sana hata kusoma na kuandika ni sifuri wao ni madrasa na sama kwa watu wa imani hii huku bara. Kuanzia sasa, anza kuhesabu idadi ya wauza unga wanao kamatwa, utanielewa.

My apologies, sincerely.
 
Madrasa haimzuii mtu kuacha kusoma shule na wala haimuhimizi mtu katika ushirikina.
Maana katika Qur'an ushirikina umekatazwa na wala hakuna elimu ya majini katika Qur'an,hapa bro umedanganywa.
Labda kama ungesema masuala ya vita kweli Qur'an imezungumzia sana vita.
Afrika tuache kusingizia dini ndio sababu ya matatizo yetu.
MISRI ni taifa la wasoma QUR'AN 70+% mbona Egypt imeendelea in all aspects!??
Sumbawanga Na Katavi kuna imani za kishirikina je nao ni Qur'an kaka!?

Tunatakiwa tujitafakari na tuache visingizio.
 
"Sumbawanga Na Katavi kuna imani za kishirikina je nao ni Qur'an kaka!" Nenda kaangalie hao huko Sumbawanga ni wakina nani? Angalia mambo yote ya kiushirikina ni aina gani ya maandiko kama sio Quran. Wapi umeona mganga wa kienyeji siye wa imani hiyo?

Haya hata sio mambo ya kubishana. Uharabuni karibia kote kwenda shule ni marufuku, juzi tu hapa Taliban wamepiga marufuku. In Nigeria most states zenye sharia law hawaendi shule bali madrasa.

"Al-Jinn (Kiarabu: الجن, “Jini”) ni sura ya 72 (sūrah) ya Quran yenye aya 28 (āyāt). Jina pamoja na mada ya sura hii ni majini. Katika Quran, imeelezwa kuwa wanadamu wameumbwa kutokana na ardhi na majini kutokana na moto usio na moshi."
"Qur'an pia inaeleza kwamba majini, kama wanadamu, ni viumbe wenye uwezo na mamlaka, na wao, kama wao, wanaweza kuchagua kati ya utii na uasi, imani na ukafiri. Haya yanathibitishwa na kisa cha Shetani na tukio la majini kuthibitisha imani kama inavyopatikana katika Sura Al-Ahqaf na Al-Jinn."

"Sura Al-Jinn - 1-28, Katika Sura Al-Araf: 27 imeelezwa kwa maneno yaliyo wazi kwamba majini wanawaona wanadamu lakini wanadamu hawawaoni."
 
Madrasa haimzuii mtu kuacha kusoma shule na wala haimuhimizi mtu katika ushirikina.
Maana katika Qur'an ushirikina umekatazwa na wala hakuna elimu ya majini katika Qur'an,hapa bro umedanganywa.
Labda kama ungesema masuala ya vita kweli Qur'an imezungumzia sana vita.
Afrika tuache kusingizia dini ndio sababu ya matatizo yetu.
MISRI ni taifa la wasoma QUR'AN 70+% mbona Egypt imeendelea in all aspects!??
Sumbawanga Na Katavi kuna imani za kishirikina je nao ni Qur'an kaka!?

Tunatakiwa tujitafakari na tuache visingizio.
Ndio tunatafakari hapa, mimi nimeleta hoja wewe unaleta utetezi wa kiimani na kuona utendewi haki. Nimekwambia, kuanzia leo, anza kusoma majina ya wauza unga wanaokamatwa ndani na nje ya nchi walio Watanzania.
 
Vichwa viwili. Mtumba halina nguvu🤣🤣😂😂👇👇👇

View attachment 3059070
Now I know why they using two train heads to pull the coaches. These trains hazina nguvu🤣🤣😂😂👇👇👇

Geza Ulole ulisema uonyeshwe train ya vichwa viwili ikifika Dodoma😂😂🤣🤣👇👇

View attachment 3059065
Kwenye stesheni na baadhi ya maeneo fulani, huwa wanafanya marshaling (locomotive haifanyi uturn). kama unachosema ni kweli basi tupatie picha ya treni hii ya abiria ikivutwa na vichwa viwili porini.

Kadogosa alisema kwa speed ya 160km/hr, hizi locomotive zinavuta mabehewa 14-18 bila shida ila zitaweza kuwa na mabehewa zaidi ya hayo kwa speed ndogo.
 
Hii habari ya kweli ya treni kukwama sijaona Millard Ayo akiipost..
i hope kuna kitu au picha mnaipata
 
Back
Top Bottom