Some people thought Uganda would use their SGR😂😂🤣
View: https://x.com/PatroUganda/status/1818680520592498863
Nadhani katika orders kuna wagons za Presidential class pia! Na kama protocol inavyohitaji hiyo insignia inapaswa kuwepo kwenye chombo anachotembelea Rais.Hii ni crafted Presidential suite cabin au imekua tu branded for the ceremony? 🤔
View attachment 3058775
Kabla ya muhindi, alikua mchina hapo, Hutchison whampoa, unawafahamu.....au ulikua unahisi TICTS Iilikua kampuni ya manzese??
Break down ni kawaida wewe mpumbavuSasa kisa treni ilizima france ni lazima izime Tanzania, kwanini musiwe bora kuwaliko. 😂😂😂