Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Kwa hivyo wewe ni kipofu huoni two heads pulling the coaches?🤣🤣😂😂Two heads zinaonwa na wakenya tu. 🤣 🤣 🤣
Kwa hivyo wewe ni kipofu huoni two heads pulling the coaches?🤣🤣😂😂Two heads zinaonwa na wakenya tu. 🤣 🤣 🤣
Ni nini hujaelewa hapo? Tell us who owns your brt and the port of dary
Financed by World Bank🤣🤣😂😂
Head pulling wapi mzee. Hapo Pungu ni marshalling yard kuna vichwa vingi tu hapo vimewekwa. Nioneshe wapi pulling ya vichwa viwili? 🤣 🤣 🤣
Wewe ulitegemea usiku watu wafungue ofisi auTPA tower pia iko half empty.😂😂🤣
Leta ushahidi kua walijenga alaf ikawa Yao, hebu Niambie talanta inajengwa na Nani na kwa fedha za Nani???😅😅😅😅Waliuziwa. Saa hii bandari
yenu inamilikiwa na mwarabu na mhindi kwa miaka 30 bila huruma🤣🤣😂
Gorofa zenu zote are half empty🤣🤣😂😂Wewe ulitegemea usiku watu wafungue ofisi au
Hebu usituondoe kwenye mada. Tunasikiliza hotuba ya Rais uzinduzi wa Electric SGRGorofa zenu zote are half empty🤣🤣😂😂
Ngojeni miaka 30 iishe mhindi afikirie kama atawarudishia port🤣🤣😂😂👇👇👇Leta ushahidi kua walijenga alaf ikawa Yao, hebu Niambie talanta inajengwa na Nani na kwa fedha za Nani???😅😅😅😅
Maximum speed of 165km/h😂😂🤣Chuma inawauma 😂😂😂View attachment 3058750
Hata angejenga babako haizui kuwa mali ya mhindi kwa miaka 30 😂😂😂Leta ushahidi kua walijenga wao 😅😅😅
Nyang’au mnajua kujifurahisha🙂Maximum speed of 165km/h😂😂🤣
Sasa kisa treni ilizima france ni lazima izime Tanzania, kwanini musiwe bora kuwaliko. 😂😂😂hii comment yako imekaa kitoto sana,au mataputapu ya chang'aa hapo kibera ishakuharibu akili!
Na bado Mombasa inawafanyia transhipment🤣🤣😂Hata angejenga babako haizui kuwa mali ya mhindi kwa miaka 30 😂😂😂